TCU wanatoa lini majina ya second selection?

TCU wanatoa lini majina ya second selection?

Sawa wametoa ila niulize katoka hivyo vyuo vilivyotoka Kuna diploma to degree kapangiwa
 
Hivi TCU wanatuletea lini majibu yetu maana tumekaa vichwa vinatuuma kwa ajil ya hizo post. Kiukweli hawapo wazi katika mchakato wao wa uchaguzi inatakiwa watupe taarifa ya kutoa post tumechokaaa...
wanatoa 26 octoba
 
Daah jaman siye tunaonewa Ina maana sis tutatolewa kwenye second selection
 
Mungu atupiganie mana diploma holder hatujui chochote wenzetu degree washapangiwa
 
Mpaka sasa iv cjaelewa mwanzo katka first round walivyofunga udahil, wakatoa tareh kabsa ya kuachia selection. Ambayo ilkua tareh 12, kinachokuja kunishangaza ni baada ya kufunga udahil kwa second round.
Yan hawakueka tareh ya kuachia imebakia kila mmoja anahis na kutabir.
Sasa kutokana na hilo kuna maswal yananijia kichwan kila mda.
Kua wametuzarau ss tuliomba vyuo kwa awam ya pil?
Ni wale ambao tulifaulu kwa baat mbaya kidato cha sita au
Au n mabak katka uchaguz wa vyuo?
Naona wakiweka matangazo tu ya scholarship, wakat tuliopo tz iyo Ada tu ya udsm kulipa ukikosa mkopo, ndio chuo kimeishia apo.
Jengne au wanapenda na kuona raha jins tunavyo wataja taja.
Hii hal imekuaje bhana mbona mnafanya tcu kama kituo cha kubet yan n mwendo wa kubahatika tu.
Au mnataka muachie majina cku kama ya leo alaf kesho turipot chuon without admission letter.
tcu fanyen kaz kwa uadilifu, kiufup mnatuboa.
Nyiny mtuangaishe na mkopo itakua iv iv maana naijua hii tz yang.
kama sio nchi inayojitawala yenyew
 
Et mtu na division2 yako unatoa macho kuona ka utachaguliwa second slection au la!!!!
 
Hivi TCU wanatuletea lini majibu yetu maana tumekaa vichwa vinatuuma kwa ajil ya hizo post. Kiukweli hawapo wazi katika mchakato wao wa uchaguzi inatakiwa watupe taarifa ya kutoa post tumechokaaa...
ha ha ha poleni sana , ha ha ha
 
Back
Top Bottom