Semistocles JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,932 Reaction score 1,126 Sep 28, 2016 #21 wanaumewaisaka said: Hebu tulieni huko ,mlipokimbilia kuomba daresalama mlikua mnadhani mchezo mchezo!??subirini vyuo vya tabora labda Click to expand... hahahahaha mkuu punguza bhana watapata stroke asee, unajua wote walijaza udsm waje watizame mataa ya ubungo. ni dhahiri sasa watapangiwa vyuo vya simiyu.
wanaumewaisaka said: Hebu tulieni huko ,mlipokimbilia kuomba daresalama mlikua mnadhani mchezo mchezo!??subirini vyuo vya tabora labda Click to expand... hahahahaha mkuu punguza bhana watapata stroke asee, unajua wote walijaza udsm waje watizame mataa ya ubungo. ni dhahiri sasa watapangiwa vyuo vya simiyu.
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #22 johnson meki said: hahahahaha mkuu punguza bhana watapata stroke asee, unajua wote walijaza udsm waje watizame mataa ya ubungo. ni dhahiri sasa watapangiwa vyuo vya simiyu. Click to expand... Unaiona dsm kama Paris vile, watu wamesoma Oxford wametulia tu. Acha ujinga ww na nakwambia haya na mm nikiwa kama mkaz DSM
johnson meki said: hahahahaha mkuu punguza bhana watapata stroke asee, unajua wote walijaza udsm waje watizame mataa ya ubungo. ni dhahiri sasa watapangiwa vyuo vya simiyu. Click to expand... Unaiona dsm kama Paris vile, watu wamesoma Oxford wametulia tu. Acha ujinga ww na nakwambia haya na mm nikiwa kama mkaz DSM
Semistocles JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,932 Reaction score 1,126 Sep 28, 2016 #23 Amon Mtekateka said: Unaiona dsm kama Paris vile, watu wamesoma Oxford wametulia tu. Acha ujinga ww na nakwambia haya na mm nikiwa kama mkaz DSM Click to expand... mkuu vipi mbona povu? mimi nimetoa tu mawazo yangu, samahani sana kama nimekukwaza.
Amon Mtekateka said: Unaiona dsm kama Paris vile, watu wamesoma Oxford wametulia tu. Acha ujinga ww na nakwambia haya na mm nikiwa kama mkaz DSM Click to expand... mkuu vipi mbona povu? mimi nimetoa tu mawazo yangu, samahani sana kama nimekukwaza.
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #24 johnson meki said: mkuu vipi mbona povu? mimi nimetoa tu mawazo yangu, samahani sana kama nimekukwaza. Click to expand... Uwez kunikwaza ww ata kidogo, tatzo nakufundisha uondokane na ushamba. Wa kuifanya dsm kama Paris
johnson meki said: mkuu vipi mbona povu? mimi nimetoa tu mawazo yangu, samahani sana kama nimekukwaza. Click to expand... Uwez kunikwaza ww ata kidogo, tatzo nakufundisha uondokane na ushamba. Wa kuifanya dsm kama Paris
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 30, 2016 #25 tcu
D Dj mars Member Joined Sep 26, 2016 Posts 11 Reaction score 2 Sep 30, 2016 #26 Vuteni subira vijana ,, kama unasifa chuo utaeenda,,,