TCU Wanalea Udini Vyuoni au ndo mapenzi ya wanasiasa madarakani?

Status
Not open for further replies.

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Sitawaelewa TCU kwa kuruhusu Chuo Kikuu cha Kiislam pale Morogoro kudahili waislamu tu! Vyuo vikuu vyote vinaratibiwa na TCU, yaani kwa ubora wa waalimu, wanafunzi wanaodahiliwa, pamoja na ubora wa mahitaji ya kufundishia. Kinachonishangaza ni kwa jinsi gani chuo kikuu hiki kina wanafunzi wa dini moja tu!

Watu hawa yaonekana wanachagua wanafunzi wao wenyewe bila kupitia TCU, halafu serikali inawalipia tofauti na vyuo vingine. Huu si ndiyo udini unaozungumzwa nchini sasa hivi?
 
Nadhani vyuo vikuu vya mashirika ya kikristo nao wafanye hivyo. Wadahili wakristo tu. Tumechoshwa na udini wa serikali hii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom