TCU wamelala, nani awaamshe?

TCU wamelala, nani awaamshe?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Kwa muda mrefu tcu walitangaza kwenye tovuti yao kwamba watafungua maombi kwa njia ya cas tarehe 20/7/2016.

Leo tarehe 20/7/2016 saa 2.15 asubuhi nimeingia kwenye website yao wanasema cas itafunguliwa 20/7/2016!

Ni vizuri wangeweka saa.
Mh. Rais, watumbue hawa wamelala!
 
hawakusema SAA ngapi, Siku ina saa 24, endelea kusubiri
 
Back
Top Bottom