TCU vipi majina bado walioomba Transfer? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU vipi majina bado walioomba Transfer?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namanyele, Oct 26, 2012.

 1. namanyele

  namanyele JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,795
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kwa wale walioomba transfer kupitia tcu nadhani watakuwa na taarifa muhimu toka tcu,kuna wale waliomba mwanzoni kabisa majina mia 7 hivi yametoka kwenye net,kuna tuliochelewa kidogo kabla hawajafunga hilo zoezi,nashangaa sioni majina kwenye web yao zaidi tu yale ya mwanzo,jamani kuna taarifa zozote basi mtujuze wanajamvi wenzangu. mia
   
 2. m

  mdunya JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukikosa hadi j3 ni pm nitakusaidia
   
 3. T

  Thebony Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oya mie nimefanyiwa transfer ila nashangaa tcu halijatoa majna ya mwisho zaidi jna langu nimelikuta chuo nilichoomba kuhamia.
   
 4. namanyele

  namanyele JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1,795
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  poa nitashukuru sana
   
 5. aman abdalah

  aman abdalah Member

  #5
  Oct 15, 2014
  Joined: Jun 6, 2014
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wametoa majina lini?
   
 6. ibra more

  ibra more Member

  #6
  Oct 16, 2014
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani majina wamesha toa??Taarifa tafadhali
   
 7. F

  First1991 Member

  #7
  Oct 16, 2014
  Joined: Aug 26, 2014
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si walisema watawatumia taarifa kwenye simu zenu.
  kwa hiyo kama hujatumiwa basi bado
   
 8. B

  Brainiac Senior Member

  #8
  Oct 16, 2014
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hivi mmeangalia hiyo post ni ya mwaka gani au?
   
 9. M

  Mtanzania Wa Ki-tz Member

  #9
  Oct 16, 2014
  Joined: Feb 27, 2014
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hahahahaaaa, watu tuko res ht mwaka hatuangalii
   
 10. danya

  danya JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2014
  Joined: Sep 6, 2014
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Walisema wataweka kwenye website yao kwa watu wa medical related programms lakin kimya had leo
   
Loading...