da ebwana kutokana na kuwa na watu wengi sana walioomba vyuo vikuu ndo maana mmeona kimya cha mda mrefu namna hii lakini si mda mrefu sana mtaona majina yenu hewani wakati huohuo vyuo vikuu vyote nchini vinatarajiwa kufungua nov 13 msiwe na wasiwasi kwani lazima mmpewe mda wa kujiandaa mwezi huu hauwezi kupita kabisa.tatizo kubwa ninaloweza kusema kuwa serikali yetu haipendi kuwapa vijana ajira kwani mpaka sasa watu wengi kabisa ambao wangeweza kusaidia kazi hio ya mtandao ni wengi lakini wapo street tu nalo hilo liangaliwe ndugu zangu kama kuna mtu anaweza kupeleka taarifa hizi apeleke.