TCU tazameni hili

Angyelile99

Member
Oct 9, 2023
12
7
Kati ya maeneo ambayo bado tunashindwa kuyafanyia kazi ni pamoja na ukaguzi wa elimu ya juu, yaani ngazi ya vyuo vikuu na vyakati.

Kama ilivyo kuwa ni ugonjwa komavu wa ukosekanaji wa vifaa saidizi vya kufundishia (teaching aids) kwa shule nyingi sana hapa nchini, hivo hivo imekua ni tatizo kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyakati hapa nchini haswa vile vinavyo toa kozi zisizo na uhusiano na masomo ya sayansi. Mfano katika somo la Geography topiki ya survey.

Nimejaribu kufanya utafiti kutoka vyuo kadhaa vinavyotoa huduma ya uzarishaji wa walimu kwa masomo ya sanaa. Imeonekana kwamba wakufunzi wengi katika vyuo hivi wamekuwa wakifundisha kozi hii ya survey in geography theoretically zaidi kuliko kutoa elimu ya vitendo, na sababu kubwa imeonekana ni pamoja na ukosefu wa vifaa saidizi vya kufundishia, kama vile chains, tapes, arrows, ranging poles, ambapo sasa imeendelea kuathiri kiwango cha ubora wa walimu tunaowazalisha haswa katika somo ili la geography.

Mwanafunzi akiwa O level na A level, alichorewa ubaoni, lakini akiwa chuo anaoneshwa kwa kutumia projector, maana yake ni kwamba hajawahi shika wala kujaribu kutumia practically ikiwa ni sehemu ya somo halafu huyu huyu ndo anaandaliwa akamfundishe engineer wa baadae.

Ndio maana bado tunashindwa kuwaamini wataaramu wetu wa ndani na wakati huo huo na wao wanashindwa kujiamini, yote ni kutokana na misingi mibovu ya kitaaruma kutokea chini mpaka juu.

TCU kuna haja ya kulifanyia kazii hili.

Kama tumeshindwa kuboresha huku chini inawezekana ni kutokana na uwingi wa shule na uchumi duni tulio nao. Lakini kwa ngazi za vyuo hapana, ada ya mwanachuo ifanye kazi inavyotakiwa na sio kumegeana mishahara mikubwa to kwa wakufunzi.
 
Kwani hao Wanafunzi wanaenda Field kufanya nini? Kula miogo na kutumwa Chai...
 
Back
Top Bottom