Kusema kwel me inaniuma saana kuona watu wanakuja hapa alafu wanaleta habari ambazo sijui wamezisikia wap kuhusu haya maselection.
Yan kama wangejua jinsi wanavowaweka watu roho juu especialy sisi tulioaply mwaka huu wasingekua wanafanya ivo kabisa..
Grow up guyz na mlete hapa habar mkiwa na uhakika na mlete na visibitisho basi coz thats hw great thinkez do..
NB:Mods plz do somethn abt thos pple