chuo ulichochaguliwa mwanzo ndo hicho hicho utakachopelekwa cha msingi ni kuandaa ada na mambo mengine.Kama ulichaguliwa NIT first batch download ile pdf ya first batch,ile iliyotoka jana au juzi inawahausu watu wa second na third tu
Hebu punguza pressure mbona jambo liko wazi kabisa. we chuo umeshapata. kama jina lako lilitoka first batch usitegemee kuliona kwenye batch nyengine. second na third batch ni majina ya watu walio apply kwenye kozi husika lakini hawakupata nafasi ya kudahiliwa kwenye first selection. kwa hiyo selection nyengine inapofanyika haiwezi kuchagua jina lako tena linakuwa tayari limepangiwa chuo. acha kupanic bora wewe kuna watu hadi dakika hii profile zao hazina changes yeyote na wala hawajaona majina yao kwenye list ya chuo chochote kile hata kama ni kimakosa wao wasemeje sasa au unadhani wana hali ganiila ndugu kunajina la mtu tulikuwa naye firts batch na hii iliyotoka juzi ya second na third pia yupo
So leo wanaweza wakaachia hy majna ya 3rd round maana nna ndugu yangu had anatia huruma
Kama ulichaguliwa basi jina tayari lipo chuoni. Ni issue ya ku report tuu.
MUST ni bora zaid
Kipi chuo bora kwa sasa kati ya hivyo hapo
kifupi ni kwamba bodi ya mikopo wametoa majina wamepeleka chuoni ikiwepo sua sijui sisi wengine itakuaje
Nilikuwaselected nacte kwenda chuo cha
NIT. NIT walipotoa majina na jina langu
nililiona lipo,sasa leo nimeingia nakuta
wametoa majina mengine na jina langu
halipo.nini kimetokea jamani? au ndo
nimekatwa? Na nikiingia kwenye profile yangu nakuta message hii "You have current chosen the following programme(s)". Sasa nikitu gani kinaendelea, au mimi hku nifanyaje jamani naombeni ufafanuzi na ushauri