Mpelijr
Member
- May 17, 2010
- 89
- 11
Ndugu zangu nimekuja kugundua kuwa hawa jamaa wetu wa vyuo vikuu nao hawafai.kuna rafiki yangu alimaliza chuo chake india ila cheti chake kilikosewa jina asa kwenye kufuatilia ndiyo wakafika tcu..hawa tcu wakapiga simu chuoni kwao na kesho yake wakamwambia mama yake kuwa hicho chuo alichokuwa anasoma mwanae ni cha mtaani,hapakutosha nyumbani kwao siku hiyo lakini kumbe tatizo ni kuwa tcu waliwapigia simu watu wa chuoni kule na kuongea na mhindi mmoja wao kwa kuwa tu yule aliyemcontact hawakuweza kuelewana lugha basi jamaa wa tcu aka conclude miaka 4 ya mtu wa watu kuwa alikuwa anasoma chuo cha mitaani....tcu acheni.....mtu asome miaka mi4 au 5 nyie mje muongee na chuo chake dakika 2 halafu mseme hamkitambui hicho chuo au ni cha mtaroni...hatutaki kama hamjui lugha ajirini ma translators!!!!!!!!!