Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,098
- 10,449
Mwaka huu mtalia sana wadogo zangu...
Subirini na HESLB..!
Subirini na HESLB..!
Saa 1:14pm mkuu mungu anakuonaWamesema had saa sita mchna kamili kitu kinafunguka..
Saiz saa 1:16 mkuu mungu anakuonawanasema mpaka saa 12:00 PM so tusubiri hiyo jion yao
be serious asee wamekwambia kweli???manake ujinga mm hua sipendi.


hivyo kuweni wapole jioni watakua wamefikaNa degree vip
Asa waliomba bachelor inakuwajNDO WAMEANDIKA WAO SIO MIMI
Kindly note that the system is closed to allow finalizing third round selection process.
You are requested to be patient up to 5th October 2016 12:00PM. This applies only for Certificate and Diploma applicants, Sorry for any inconvenience caused.
For more information Click Here.
HahahahahahahaKuomba
Mwaka huu mtalia sana wadogo zangu...
Subirini na HESLB..!
mpaka sasa ata kad ya kupigia kura nmeshaitupa bora niish kama nyanHahaha hahaha iyo ndo unaambiwa Bola uzaliwe mbwa Europe![]()
![]()
mpaka sasa ata kad ya kupigia kura nmeshaitupa bora niish kama nyan
Yan nmechoka c uongo.Hahaha hahaha iyo ndo unaambiwa Bola uzaliwe mbwa Europe
Yan nmechoka c uongo.
Duuuh sijui niwatukane tu waniburuze mahakaman




