Tcu na matokeo ya waliodahiliwa 2011/12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu na matokeo ya waliodahiliwa 2011/12

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Arselona, Aug 31, 2011.

 1. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Baada ya ngojangoja ya muda mrefu ss hatimaye majina yametolewa hii leo.Wanafunzi wamepangwa ktk makundi mawili A&B.Kama ckosei ni kundi A tu ndio waliopata mikopo na B wamekosa.Kwa mtazamo wangu camini kabisa kama hawa wa2 hawana vigezo.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Modearator hii kitu ipelekwe kwenye jukwaa la Elimu
   
 3. M

  Moesk Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da hii ndo tanzania mbona tcu na bodi wanatuchanganya eti not a priority mtu ana vigezo vyote da kwa mtindo huu watasoma watoto wa vigogo2 siwezi uza vitu vyote home eti nikasome then ukimaliza unasugua banch bora unakuwa na uhakika wa kazi wataka wote tuwe walimu nani atawahukumu mafisadi?inaniuma sana wana jf
   
Loading...