Arlnorldiey
Member
- Oct 9, 2015
- 15
- 6
sasa kuwa wa kike kunahusikaje hapo?Sifa za kike
I like what ur mum told U..!
Genius
Hiyo kazi unapataje bila kufaulu ,tena kufaulu sanaa, acheni kumshauri Dogo ujinga, mwambieni ukweli kuwa Medicine hasa Muhas haihtaji vilaza ,kwa matokeo yake hayo dogo alibugi, narudia tena ,watanzania wengi hatupendi kuambiwa ukweli, a guy he is not suitable and fit kwa chuo kama Muhas
Kama ukikosa kabisa Anza clinical officer... .Wadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU yeyote mwenye. Merit au credit aliyechaguliwa? Wadau nipo njiapanda.
Unaweza ukadhan unatoa point but ni pumba.. .. Mtu ana merit ukilaza wake upo wap hapo.. Hujui alisoma shule gani, hujui alisoma katika mazingira gan, hujui kwao kupo Vipi, hujui yeye ana majukum kiasi gani.... Inawezekana wew ungekuwa kwenye mazingira yake hata pass usingepataHiyo kazi unapataje bila kufaulu ,tena kufaulu sanaa, acheni kumshauri Dogo ujinga, mwambieni ukweli kuwa Medicine hasa Muhas haihtaji vilaza ,kwa matokeo yake hayo dogo alibugi, narudia tena ,watanzania wengi hatupendi kuambiwa ukweli, a guy he is not suitable and fit kwa chuo kama Muhas
Wadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU yeyote mwenye. Merit au credit aliyechaguliwa? Wadau nipo njiapanda.
Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
Wadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU yeyote mwenye. Merit au credit aliyechaguliwa? Wadau nipo njiapanda.
Sijifanyi najua ,ukweli nikuwa najua , natatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli madogo
we jamaa umesema kweli ila unajiona kichwa kinoma yani, but haina mbaya waliofeli ni wajinga sana inaonekana. but naona kikubwa ni noti tuu coz hata ww kama ulikimbilia huku MD ni sababu ya pesa na ajira. mm nimezngua na sio kwamba sina akili hapana ipo nyingi tuu na namshukuru mungu. pepa nlipga fresh mambo yakaja tofauti,Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
tatizo ww jamaa nahis kama ulijiamini kinoma. kwan hukuona watu walivyokua wamepga vizur distinction za PCB na na kama uliona idadi ya one za PCB sasa kwa nn ujisumbue na ile kitu ya MUHAS???? na unajua pale MD wanachukuliwa 225 tuu. yan bora ulijaribu hata UDOM coz pale watu wanapadharau. pia hingera hukujarib UDSM, ila KCMC yenyewe nayo inaheshimia ina compettition balaa nadhan hukuwah kuckia historia yake. bugando pia ungekosa coz kinakubalika.Wadau nataka kujua TCU wametumia vigezo gani kuwapata hawa au mwaka huu wanaosoma kizi hii ni distinction pekee? Wadau inaniuma sana nina merit lakini mpaka leo TCU hawajanichagua.
Kuna MTU yeyote mwenye. Merit au credit aliyechaguliwa? Wadau nipo njiapanda.
haki ya mungu pass kwa coz za afya vyuo vya serikali??? cjui kwa kweli lakn ww una uhakikia? labda environmental health na sio afya ya binadamu, butb im sorry kama utanielewa vibayaDogo jaribu kufuatilia hadi TCU kabisa mbona kuna watu wenye pass wamepata UDOM kwenye hyo kozi? Au subiria 4th round ujaribu tena.