TCU na 3.5 GPA for diploma holders

TCU na 3.5 GPA for diploma holders

kiukwel ziko dip gpa zake hazna validity kwa baadhi ya vyuo,, mfn m2 4m four alipt D 5 (Four ya 30 ) badae akasoma cert then dip, mwisho unaskia ana gpa ya 4.7 bt ukimpima unaona hmna k2, wzr asihangaike kupandisha vigezo, azidhibiti validity ya gpa, na ikiwezekana dip wote wawe na mthn wa mwisho wa nacte, km ilivo afya na dip ya ualim( wakiwa chn ya necta sio nacte).
 
Hapo kuna mengi ya kuzingatia,, kaka issue sio kuanza certificate wapo watu wana deserve kupata hvyo ila kama ushawai kumuona mtu ana gpa kubwa alaf ukampa swali kachemka,, chunguza chuo alichosoma,, vile vile vyuoni kuna mambo mengi sna,,rushwa, kufanyiana mitihan na n. K na c swala la kusema huyu hakuwa na ufaulu mzuri sekondari
 
habarini wakuu

kwa iyo maamuzi ya mwisho hadi sasa kwa watu waliomaliza diploma ukoje??

kwamba GPA ni iyo 3.0 kama sijafika hapo sina vigezo vya kundelea na bachelor??
 
Ndio Mkuu, hautakuwa na kigezo cha kuendelea na Bach.
 
habarini wakuu

kwa iyo maamuzi ya mwisho hadi sasa kwa watu waliomaliza diploma ukoje??

kwamba GPA ni iyo 3.0 kama sijafika hapo sina vigezo vya kundelea na bachelor??
ndivo hivyo degree uwe na gpa ya 3 vinginevyo utaishia kusikia kuna chuo kikuu
 
Back
Top Bottom