TCU na 3.5 GPA for diploma holders

TCU na 3.5 GPA for diploma holders

Ila waziri wa elimu n tcu wote wanakurupuka ilipo kua wanachukua kuanzia gpa ya 2.7 watu walikua wasipo fika wanasoma pre-entry sasa 3.5 ya bila taarifa na pre-entry zimefutwa.
 
Msemo wa ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii kwa huyo mama hakuna maana ni mwanamke asie na mawazo ya vizazi vingine jamii anayoijua n familia yake tu. Ila tusikate tamaa walijua kawakisema mapema watu wangepata hiyo gpa ndomana wakaamua kushtukiza
Huyo bi mother kilio cha wengi kitampa laana ngoja tuone
 
Kumbuka wapo watoto wa maskin ambao soma soma yao ni kuunga unga na leo ghafla unabadil qualifications for bachelor degree unategemea wakimbilie wapi?? Unakumbuka moja ya sera ya ccm?? Ilkuwa kusaidia watto wa maskin maana ndo anavyojiita rais wako kwamba ni rais wa watu wa hali yq chini kuwatengenezea mazngira mazuri ili wasome... Imagine mtu amemalza mwaka jana alpata GPA 3.4 HAKUWA NA HELA YA KUSOMA amefanya vkazi kazi ili mwaka huu aunge bachelor unamwambia hawez soma mpk awe na 3.5 GPA
kwani walioshindwa kufika 3.5 ni watoto wa maskini tu???
 
Kumbuka wapo watoto wa maskin ambao soma soma yao ni kuunga unga na leo ghafla unabadil qualifications for bachelor degree unategemea wakimbilie wapi?? Unakumbuka moja ya sera ya ccm?? Ilkuwa kusaidia watto wa maskin maana ndo anavyojiita rais wako kwamba ni rais wa watu wa hali yq chini kuwatengenezea mazngira mazuri ili wasome... Imagine mtu amemalza mwaka jana alpata GPA 3.4 HAKUWA NA HELA YA KUSOMA amefanya vkazi kazi ili mwaka huu aunge bachelor unamwambia hawez soma mpk awe na 3.5 GPA
Unataka kusema wasio masikini hawaathiriwi?.....maana unataka kuonesha kama vile hilo tamko limetolewa ili kukomoa masikini. Halafu mbona diploma ni elimu nzuri tu. Tatizo Tanzania tunasoma kama fasheni yani. Mimi najua watu wana Diploma zao wako vema kiujuzi kuliko hata wa degree. Tunapenda milundikano ya vyeti weeeeeeee.
 
Unataka kusema wasio masikini hawaathiriwi?.....maana unataka kuonesha kama vile hilo tamko limetolewa ili kukomoa masikini. Halafu mbona diploma ni elimu nzuri tu. Tatizo Tanzania tunasoma kama fasheni yani. Mimi najua watu wana Diploma zao wako vema kiujuzi kuliko hata wa degree. Tunapenda milundikano ya vyeti weeeeeeee.
Haya bhana sawa toto
 
HAbari wanandugu wa jamii forum

Hivi anavyofanya Ndalichako ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa sisi wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho wa siku ghafla bin vuu wanatoa sifa za muombaji awe na 3.5 GPA na average ya B+ wakati ukii convert hyo ni sawa na 1 kwa form six.

Huyu mama na wizara yake wanafanya kazi kwa hofu za kutumbuliwa na rais. Hivi fikiria mtu amemalza mwaka jana akapata qualifications za kusoma maybe akapata matatzo ya familia hakuweza kuendelea kusoma leo unataka kuomba chuo unakutana na 3.5 GPA this is not fair kwakwel jamani.

Sasa atleast wangesema mwenye GPA kuanzia 3 atasoma maana unakuta mwingine ana 3.4 ina maana chuo atakisikia redion. Sio poa kabisa, huyu mama awe makini laana za watoto wa masikini wanaopigania kutafuta elimu zitamrudia.

Kama anafanya hvyo ili kulinda mikopo abakie nayo sisi tutajisomesha wenyewe. Hivi fikiria mtu anasoma engineering ukamwambie GPA 3.5, kweli is it fair?? Sasa mtaani tunafanya issue gani?

Kama mlisema elimu haina mwisho sasahivi badilisheni semeni elimu mwisho GPA 3.5 TUTAWAELEWA. Ila kiukwel mama Ndalichako hujafanya fair tunajua watoto wenu hawapo kwenye hili janga.

Mlipokuja kuomba kura rais alisema yeye ni rais wa maskini je ndo hivi?? Haya bhana 2020 cyo mbali Tuombe uzima
Hivi ndalichako fani yake alisoma arts au science
 
Ila na hapo uliposema KAMA ISSUE NI MKOPO WAACHE TUTAJISOMESHA WENYEWE HAPANA sio wote tunaoweza kijisomesha aisee
 
Jaman naomben msaada apa nilikua najaza form TCU ss baada ya kujaza naambie et code ishatumika nifanyajeee??
 
Huruma yangu ni kwa wale ambao mmeshtukizwa..yaani viwango vimetoka baada ya nyie kuwa mmekwisha maliza masomo yenu..

Lakini kwa wale wanaofuata watakuwa na juhudi na watatambua chuoni ni mahala pa kusoma kwa bidii na sio mahala pa kutafuta "vibinti" na "visharobaro"..

Kama mlisoma kwa bidii lakini hamkufanikiwa kufikia vigezo hivyo Mungu atawafungulia mlango mwingine!
Na pia kwa wale wanaofatia hasa wa vyuo vya private hizo GPA za 3.5 zitakuwa za kumwaga sana ili watoto wao wapate kwenda degree. NAkwambia kipindi hiki cha anko magu na anti yake tutaona mengi sana zaidi ya haya
 
Wamefanya walichoamua kufanya
ushauri wangu hata ukilalamika its not fair kesho au mwakani haitasaidia sana sana inakufunga akili usiwaze jipya we shukuru mungu huenda degree wasn't your path,we waza nini ufanye utoke kimaisha km ni kazi omba bila kuchoka km ni biashara tafut pesa uanze
 
Jiungeni muombe na kibali mfanye maandano ya amani mpka ofisini kwake anaweza akawasikiliza na kuwatatulia tatizo lenu
 
kwani walioshindwa kufika 3.5 ni watoto wa maskini tu???
Yah naweza sema hvyo kwamba watoto watakao athirika zaidi ni wa masikin kwa sababu internation university level yani qualification zao ni most of the university ni GPA 2.0 sasa kwa mtu masikini atashindwa kwenda huko kusoma ila kwa mtu mwenye uwezo wake ni rahisi mwanae kumpeleka...maana hata east africa kenya ,uganda wanachukua hvyo na mtu huyo huyo ambaye kakosa 3.5 tz akaenda kusoma nje akirudi tz kwenye ajira yy ndiye wa kwanza kuajiriwa wakat walimkataa
 
Kwakweli serikali iratibu upya hizi taratibu. Kwa mfano unaweza kukuta Accountant ana diploma yenye GPA dhaifu lakini ana experience kubwa sana. Kwanini kigezo cha experience kisiongezwe Kama mtu anataka kusoma course ambayo ameifanyia kazi muda mrefu with proven records.
 
4.4-5.0 First class
3.5-4.3 Upper second

Kosa kubwa TCU & wizara walilofanya ni kupandisha qualification entry ghafla. Kosa kubwa wanafunzi tunalofanya ni kupenda kudeal Na "red line" yani baadhi ya wanafunzi wanasoma kwa kurelax akiamini anaweza kupata maksi flani ndogo zinazoweza kumpeleka level nyingine. Sitaki kuamini Kama 3.5 ni gpa kubwaa inayostahili kupatwa Na watu wachache(especially Tanzania), hii itakuwa fundisho kwa vizazi vijavyo Na watu watasoma kwa bidii. Kwa watu waliomaliza diploma kabla ya tangazo hilo kutolewa naamini kama wakiwa serious na kupeleka ombi lao kwa wizara husika wanaweza kusikilizwa ila tu sio kwa kigezo cha kusema kupata 3.5 ni kazi sana kwa sababu utakuwa unazidi kuprove kwamba huna uwezo wa kuendelea na masomo ya degree.
 
Hawajasema kama ni kwa hawa waliomalza mwaka huu ama niaje.. Tena wakaenda mbali wamesema kabsa kama HUNA 3.5 USIJSUMBUE KUOMBA chuo.. At least wangesema kama ni wa mwaka huu ama kwa wote... 3.5 mtu una familia uku unasoma, bfu za walimu na wanafunzi dah
Usisahau na average ya B+
 
kwani walioshindwa kufika 3.5 ni watoto wa maskini tu???
Point yake ni kwamba watoto wa maskini wanasoma kwa shida sana kupata GPA tuseme ya 3 kafanya kazi kubwa kwanini inakua ivi mtu unasoma na njaa , umekosa pa kulala, huna hata pesa ya ku print kazi assignment, afu home unapigiwa simu wamelala njaa tuma hata bk 20 unazani ni kawaida acha kabisa , we tajiri au unajiweza usiombe hii kitu
 
Back
Top Bottom