TCU na 3.5 GPA for diploma holders

TCU na 3.5 GPA for diploma holders

Mwasele101

Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
8
Reaction score
11
HAbari wanandugu wa jamii forum

Hivi anavyofanya Ndalichako ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa sisi wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho wa siku ghafla bin vuu wanatoa sifa za muombaji awe na 3.5 GPA na average ya B+ wakati ukii convert hyo ni sawa na 1 kwa form six.

Huyu mama na wizara yake wanafanya kazi kwa hofu za kutumbuliwa na rais. Hivi fikiria mtu amemalza mwaka jana akapata qualifications za kusoma maybe akapata matatzo ya familia hakuweza kuendelea kusoma leo unataka kuomba chuo unakutana na 3.5 GPA this is not fair kwakwel jamani.

Sasa atleast wangesema mwenye GPA kuanzia 3 atasoma maana unakuta mwingine ana 3.4 ina maana chuo atakisikia redion. Sio poa kabisa, huyu mama awe makini laana za watoto wa masikini wanaopigania kutafuta elimu zitamrudia.

Kama anafanya hvyo ili kulinda mikopo abakie nayo sisi tutajisomesha wenyewe. Hivi fikiria mtu anasoma engineering ukamwambie GPA 3.5, kweli is it fair?? Sasa mtaani tunafanya issue gani?

Kama mlisema elimu haina mwisho sasahivi badilisheni semeni elimu mwisho GPA 3.5 TUTAWAELEWA. Ila kiukwel mama Ndalichako hujafanya fair tunajua watoto wenu hawapo kwenye hili janga.

Mlipokuja kuomba kura rais alisema yeye ni rais wa maskini je ndo hivi?? Haya bhana 2020 cyo mbali Tuombe uzima
 
HAbari wanandugu wa jamii forum... Hivi anavyofanya NDALICHAKO ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa cc wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho wa cku ghafla bin vuu wanatoa sifa za muombaji awe na 3.5 GPA na average ya B+ wakati ukii convert hyo ni sawa na 1 kwa form six.. Huyu mama na wizara yake wanafanya kazi kwa hofu za kutumbuliwa na rais.. Hivi fkiria mtu amemalza mwaka jana akapata qualifications za kusoma may be akapata matatzo ya familia hakuweza kuendelea kusoma leo unataka kuomba chuo unakutana na 3.5 GPA this is not fair kwakwel jaman.. Sasa atleast wangesema mwenye GPA kuanzia 3 atasoma maana unakuta mwingine ana 3.4 inamaana chuo atakskia redion.. Cyo poa kabsa huyu mama awe makin laana za watoto wa maskin wanaopgania kutafta elimu ztamrudia.. Kama anafanya hvyo ili kulinda mikopo abakie nayo cc tutajsomesha wenyewe hivi fkiria mtu anasoma engeenireng ukamwambie GPA 3.5 Kwel is it fair?? Sasa mtaan tunafanya issue gan kama mlisema elimu haina mwsho saiv badlshen semen elimu mwsho GPA 3.5 TUTAWAELEWA ILA kiukwel mama NDALICHAKO hujafanya fair tunajua watoto wenu hawapo kwenye hili janga.. Mlipokuja kuomba kura rais alsema yeye ni rais wa maskin je ndo hivi?? Haya bhana 2020 cyo mbali Tuombe uzima
2.7-3.5 GPA ni parefu sanaa
Ina mana mtu wa diploma kwenda bachelor awe na upper second kitu ambacho somehow ni kigum kwa baadh ya kozi
Co fair

Kwani iki kigezo cha GPA ya 3.5 kinawahusu na waliomaliza miaka ya nyuma?
 
Hawajasema kama ni kwa hawa waliomalza mwaka huu ama niaje.. Tena wakaenda mbali wamesema kabsa kama HUNA 3.5 USIJSUMBUE KUOMBA chuo.. At least wangesema kama ni wa mwaka huu ama kwa wote... 3.5 mtu una familia uku unasoma, bfu za walimu na wanafunzi dah
 
Muache tu ajidai,lakin ilitakiwa tumtingie ofisini kwake kuonesha anakosea sana aisee.
 
Hawajasema kama ni kwa hawa waliomalza mwaka huu ama niaje.. Tena wakaenda mbali wamesema kabsa kama HUNA 3.5 USIJSUMBUE KUOMBA chuo.. At least wangesema kama ni wa mwaka huu ama kwa wote... 3.5 mtu una familia uku unasoma, bfu za walimu na wanafunzi dah
Pole sana
Ndo serikali yetu hii
Tusubir labda wanaweza kulegeza kamba
 
HAbari wanandugu wa jamii forum... Hivi anavyofanya NDALICHAKO ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa cc wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho wa cku ghafla bin vuu wanatoa sifa za muombaji awe na 3.5 GPA na average ya B+ wakati ukii convert hyo ni sawa na 1 kwa form six.. Huyu mama na wizara yake wanafanya kazi kwa hofu za kutumbuliwa na rais.. Hivi fkiria mtu amemalza mwaka jana akapata qualifications za kusoma may be akapata matatzo ya familia hakuweza kuendelea kusoma leo unataka kuomba chuo unakutana na 3.5 GPA this is not fair kwakwel jaman.. Sasa atleast wangesema mwenye GPA kuanzia 3 atasoma maana unakuta mwingine ana 3.4 inamaana chuo atakskia redion.. Cyo poa kabsa huyu mama awe makin laana za watoto wa maskin wanaopgania kutafta elimu ztamrudia.. Kama anafanya hvyo ili kulinda mikopo abakie nayo cc tutajsomesha wenyewe hivi fkiria mtu anasoma engeenireng ukamwambie GPA 3.5 Kwel is it fair?? Sasa mtaan tunafanya issue gan kama mlisema elimu haina mwsho saiv badlshen semen elimu mwsho GPA 3.5 TUTAWAELEWA ILA kiukwel mama NDALICHAKO hujafanya fair tunajua watoto wenu hawapo kwenye hili janga.. Mlipokuja kuomba kura rais alsema yeye ni rais wa maskin je ndo hivi?? Haya bhana 2020 cyo mbali Tuombe uzima

Maelezo marefu sana sijamaliza kusoma yote ila inaonesha hujakiz viwango vyao.....haijalish km ni haki au si haki cha muhm ni kuwa badili stategy yako ya kuelekea mafanikio,km strayegy ya elimu imekataa jalb nyngne km bzness ama ajiliwa na hyo diploma yako mtanganyika mwenzangu
 
Sawa brother ahsante
 
Huruma yangu ni kwa wale ambao mmeshtukizwa..yaani viwango vimetoka baada ya nyie kuwa mmekwisha maliza masomo yenu..

Lakini kwa wale wanaofuata watakuwa na juhudi na watatambua chuoni ni mahala pa kusoma kwa bidii na sio mahala pa kutafuta "vibinti" na "visharobaro"..

Kama mlisoma kwa bidii lakini hamkufanikiwa kufikia vigezo hivyo Mungu atawafungulia mlango mwingine!
 
2.7-3.5 GPA ni parefu sanaa
Ina mana mtu wa diploma kwenda bachelor awe na upper second kitu ambacho somehow ni kigum kwa baadh ya kozi
Co fair

Kwani iki kigezo cha GPA ya 3.5 kinawahusu na waliomaliza miaka ya nyuma?
Chief,hiyo inaapply kwa wote watakaotaka kuomba undergraduate courses. It's totally unfair
 
Hivi Mwasele101 umasikini unahusikaje na ufaulu?....Maana naona unalink vitu viwili visivyohusiana.
 
Kumbuka wapo watoto wa maskin ambao soma soma yao ni kuunga unga na leo ghafla unabadil qualifications for bachelor degree unategemea wakimbilie wapi?? Unakumbuka moja ya sera ya ccm?? Ilkuwa kusaidia watto wa maskin maana ndo anavyojiita rais wako kwamba ni rais wa watu wa hali yq chini kuwatengenezea mazngira mazuri ili wasome... Imagine mtu amemalza mwaka jana alpata GPA 3.4 HAKUWA NA HELA YA KUSOMA amefanya vkazi kazi ili mwaka huu aunge bachelor unamwambia hawez soma mpk awe na 3.5 GPA
 
HAbari wanandugu wa jamii forum

Hivi anavyofanya Ndalichako ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa sisi wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho wa siku ghafla bin vuu wanatoa sifa za muombaji awe na 3.5 GPA na average ya B+ wakati ukii convert hyo ni sawa na 1 kwa form six.

Huyu mama na wizara yake wanafanya kazi kwa hofu za kutumbuliwa na rais. Hivi fikiria mtu amemalza mwaka jana akapata qualifications za kusoma maybe akapata matatzo ya familia hakuweza kuendelea kusoma leo unataka kuomba chuo unakutana na 3.5 GPA this is not fair kwakwel jamani.

Sasa atleast wangesema mwenye GPA kuanzia 3 atasoma maana unakuta mwingine ana 3.4 ina maana chuo atakisikia redion. Sio poa kabisa, huyu mama awe makini laana za watoto wa masikini wanaopigania kutafuta elimu zitamrudia.

Kama anafanya hvyo ili kulinda mikopo abakie nayo sisi tutajisomesha wenyewe. Hivi fikiria mtu anasoma engineering ukamwambie GPA 3.5, kweli is it fair?? Sasa mtaani tunafanya issue gani?

Kama mlisema elimu haina mwisho sasahivi badilisheni semeni elimu mwisho GPA 3.5 TUTAWAELEWA. Ila kiukwel mama Ndalichako hujafanya fair tunajua watoto wenu hawapo kwenye hili janga.

Mlipokuja kuomba kura rais alisema yeye ni rais wa maskini je ndo hivi?? Haya bhana 2020 cyo mbali Tuombe uzima
Msemo wa ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii kwa huyo mama hakuna maana ni mwanamke asie na mawazo ya vizazi vingine jamii anayoijua n familia yake tu. Ila tusikate tamaa walijua kawakisema mapema watu wangepata hiyo gpa ndomana wakaamua kushtukiza
 
Back
Top Bottom