Tcu mnalofanya si jambo jema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu mnalofanya si jambo jema.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makbel, Sep 13, 2012.

 1. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kozi zote ambazo nilitegemea kusoma kwa mkopo (Priority) nimekosa na nimechaguliwa Second round kwa kozi ambayo haina mkopo (Non Priority) na ambayo si chaguo langu.
  Je, ina maana mimi kabwela Degree imeota mbawa? Huu si uuungwana wakuu na sisi watoto wa makabwela tutaendelea kulia sana.
   
 2. songoros

  songoros Senior Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  matokeo ya second round hayajatoka mkuuu.
   
 3. JOAQUEM

  JOAQUEM JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,436
  Likes Received: 726
  Trophy Points: 280
  Yameshapelekwa kwa baadhi ya vyuo ninavyojua mfan SUA, ARDHI,
   
 4. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  nani kasema non priority utakosa mkopo?
  Ebu ka ufikilie kisha uje upya
   
 5. B

  Best Mzava Senior Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama kunaaliyebahatika kupata matokeo ya second rounda ya SUA afanye msaada wa kuya2pia haja jamvini.
   
 6. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa kunipa moyo wakuu!
   
Loading...