Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
- Thread starter
-
- #81
Tangazo la TCU lingeweza kuandikwa vizuri zaidi haya malumbano yasingetokea. Wasingeweka zile D2 au C2 kwenye mabano. Wangesema moja kwa moja kuwa ili ufikiriwe kudahiliwa angalau uwe na pricipal passes 2 kila moja ya kiwango cha D. Ni vizuri tujue kuwa principal passes huanzia E mpaka A. S ni subsidiary pass na F ndio hivyo tena. Hawakuweka uhusiano wa moja kwa moja wa point 4 za TCU na kigezo cha D. Sisi ndio tunaipa tafsiri D2=4. Wengine wanatafsiri tofauti CE=4 kama mchangiaji wa hapo juu. Hili TCU wangeliona na kuwa explicit. Wengine wamekwenda mbali zaidi na kusema E siyo principal pass-hii si kweli ndio maana ina point 1 za TCU. Ukisha kuwa na vigezo vya kufikiriwa kudahiliwa kwa mfano D2 au zaidi-watahesabu point zole ulizopata pamoja na E & S halafu watachagua accordingly. Tahadhari kuna program ambazo ili udahiliwe wataweka vigezo mahsusi kwa mfano Statistics lazima ufaulu hesabu kwa kiwango watakachoweka.
una maana ipi mm sikuelewi bado?Watu mnaponzana 4 points katika two principles pass DD wewe mponze mwenzio
wana jukwaa habali za mapumziko?kwa upande wangu naomba kujuzwa kua kwa mtu aliemaliza kitado cha sita mwaka 2014 akatapa C,D,D.je kwa mujibu wa TCU ana vigezo vya kuomba chuo kikuu?ASS kafeli mana hafiki point 4 na hata kwa vgezo vya zaman chuo kikuu haend coz ana principle moja tu
wana jukwaa habali za mapumziko?kwa upande wangu naomba kujuzwa kua kwa mtu aliemaliza kitado cha sita mwaka 2014 akatapa C,D,D.je kwa mujibu wa TCU ana vigezo vya kuomba chuo kikuu?
Mwee haya na wa diploma hali ikoje? Mdogo wangu ana b plus then b, b, c anaenda chuo au la maana mzigo ushakuwa mzito
kinachoangaliwa ni ufikishe point 4 sio lazima point hizo 4 zipatikane kwa D mbili inaweza ikawa kwa CEE hivi ndivyo itakavyokuwa by the way soon next week Guide book itatoka utapata uchambuzi mzuri sana
axha kupotosha umma,ukiambiwa kuhusu principle passes ,huwa tunaangalia mbili hatuangalii moja,kwa hyo CEE hapo unamoja tu,jipange kwa diploma mzazi.
Tatizo watu wanalazimisha mfupa kuwa nyama, wameambiwa vigezo ni D mbili hizo nyingine ni story. Mi nina rafiki yangu alipata division 3 ila credit hazikufika tatu so hakwenda form five ila mwenzake alipata division 4 na alikua na credit tatu alikwenda A level. Waombe tu tcu walegeze vigezo ila si kutoa mifano isiyo relevant. Pia jaribuni kutumia elimu yenu kufikiria vizuri mbona mambo mengine yapo wazi sana na haihitaji degree kujua kuwa mwenye AEE haendi chuo kwa vigezo vya sasa vya TCUYes bro..
Mwenye A mbili olevel na d flat ana three ya 22 ila hana sifa ya kupga pepa ya 6 mpaka atafute crdt moja ila mwenye c tatu na d 2 na f zilizobak ana iv ya 27 ila ana sifa za kupga pepa ya 6...
Mkuu nenda website NECTA utaona vigezo vlivyotumika kugrade...E..sio princpal pass kwa maana hiyo...huyo ana Pass moja nyingne n failHabari za weekend wakuu..
Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano[emoji1541]
1) Mtu mwenye D D E anakua na points 5 (dvn 3 pnt 13) na anakua nasifa ya kwenda chuo kikuu (kwa mujibu wa rank za waliomaliza 2014 kurudi nyuma)
2) Same case mtu mwenye A E E anakua na points 7 dvn 2 pnt 11) lakin hana sifa ya kujiunga na chuo kikuu
Naomba kujua ipi hoja ya msingi kati ya D mbili au point 4.0?
Mana ukiangalia hapo juu huyo mtu mwenye A E E ana division 2 ya point 11 kafaulu zaid ya huyo wa kwanza ambae ana division 3 ya point 13
Lakini cha kushangaza mwenye sifa ya kwenda chuo kikuu ni huyo mwenye 3 ndo anastahili, hii iko sawa kweli?
I STAND TO BE CORRECTED
mkuu ingia necta angalia vigezo vya kugrade vilivyotumika mwaka huu...E sio principal pass tenaYou said it all..Nashukuru sana mkuu umenielewa na hiyo ndo hoja yang, HAKUNA SEHEMU TCU wamekanusha kuwa E cyo principle pass ila walio wengi wanabisha2 bila hoja zenye mantiki'
Mwongozo uko Necta E sio principal pasa tenaYou said it all..Nashukuru sana mkuu umenielewa na hiyo ndo hoja yang, HAKUNA SEHEMU TCU wamekanusha kuwa E cyo principle pass ila walio wengi wanabisha2 bila hoja zenye mantiki'
Kama wamesema hyvo kweli, bas hapana shaka mkuu' ila kama ume-connect dote hakuna maelezo yaliyo nyooka, bas bado kuna mkanganyikoMwongozo uko Necta E sio principal pasa tena
TCU wamefafanua issue ni point 4 na E inaweza kuchangia.Kimsingi umefaulu masomo 3 ta principal level lakini huna D2 za kuwa considered chuo kikuu.
Soma ufafanuzi wa TCU (umetoka leo jioni hii) utagundua E ni principal pass. Ukiwa na CE utafikiriwa kudahiliwa. Hivyo katika principals mbili E ni moja wapo.Mwongozo uko Necta E sio principal pasa tena
Yes bro..
Mwenye A mbili olevel na d flat ana three ya 22 ila hana sifa ya kupga pepa ya 6 mpaka atafute crdt moja ila mwenye c tatu na d 2 na f zilizobak ana iv ya 27 ila ana sifa za kupga pepa ya 6...
Yupo sahihi huwezi pata A....halafu una ma E E sijui.....inasikitisha
Sasa wote tumewekwa sawa, E ni principle na kinachotakiwa ili ufikiriwe udahili ni point 4 na E inaweza kuwa moja ya hizo principals 2.Mmnh mkuu sijakupinga hata point moja unavosema wanachosema tcu kwa mwaka huu ni D mbili mkuu sio kwamba nmeamua tu kukupinga