TCU kazi kwenu leo

TCU kazi kwenu leo

Oya kwa anae fungua web ya TCU ikafunguka aniambie hapa kuna taarifa gani mpya maana kwangu hata kufunguka inagoma
 
Watu wanashangaa si nenepi, pressure kama hizi... from matokeo to application hadi selection jamani.... for sure roho yangu juu...yatoke tu... sipati usingizi

Na hapo bado heslb..!utapata ukichaa ama kufa kabisa mwaka huu
 
Mi napendaga Sana pressure ka izi ambazo 24 hrs unakexha jicho limekutoka kwenye website Yao mbaya Zaid pale ulipo jaza vyuo viwil ambavyo uku fikisha point
Yanii daah pressure ka izi tam xn
 
Pale May 2016 kulikuwa na Dogo alikuwa analalamika kuwa ana presha 4.
1 kwenda JKT hamad jina likatoka kwenda JKT Rwamkoma akaende na kumaliza.
2 Matokeo ya F6 kama yatakuwa mazuri, baahati nzuri akafaulu Division 2 ya Pt 11
3.Kupata Chuo bahati nzuri katika kuchungulia jana kapata Mzumbe sasa amebakiws presha ya
4.kama atapata mkopo huko Heslb. Kwa TCU wapunguzieni presha wale wasioona vyuo wanavyoenda.
 
Ata hil pilau na minofu nmeona kama nakula ugal na mlenda tu.
Kwasabab ya hawa tcu jaman mtatuua toen izo tujijue mapema
 
Simu yangu ipo hatiani kuvunjwa...ni kwel yametoka? Au😵😵
 
Back
Top Bottom