TCU kazi kwenu leo

TCU kazi kwenu leo

Tupo kwenye maombolezo ya waliokufa kwa tetemeko la ardhi kwaio hatutaoa leo posts za vyuo vikuu until further notice
 
he who laugh last is he who wins_Bob Marley,
mwaka jana kuna watu waliochaguliwa ijumaa then jumatatu wakaondolewa baada ya jamaa wengine wenye one zao kurudii walikuwa jkt wakaenda tcu kulalamika, so kwa mlioona jana tulieni tuu mpaka hiyo kesho, then mtulie mpaka jina lirudii baada ya kupitishwa na Senate ya chuo (udsm na muhas mainly), then utulie mpaka mkopo usome,
 
Hakuna ulazima wa kila mtu kupata liweke akilini hilo.
Kama hukufanya chaguzi zako kwa usahihi unaweza kwenda na maji hata mwaka jana sio wote walioomba walipata
umenena vyema show ilikua zaid ya hii
round tano mchezooo
kila mtu alikua na distinction
hiyo competetion usiombee
 
Daah tuweni wapole maana huu mchezo haitaji hasira [HASHTAG]#TCU[/HASHTAG] MUNGU ANAWAONA
 
Watu wanashangaa si nenepi, pressure kama hizi... from matokeo to application hadi selection jamani.... for sure roho yangu juu...yatoke tu... sipati usingizi
 
Back
Top Bottom