Me cjalal tangu:saa 9 mkuu,yan apa siwez kutulia mpk nizione..Uenda pilao ikawa chungu leo
haikuw officiallyivi sababu kibwa ya tcu kifunga link yao jana ilkua ni nn
uckonde utapat 2 nafacUenda pilao ikawa chungu leo
npo makin cjalala kabisaLala sasa hv
Wana tabia mbaya! Walilenga kuongeza pressure kwa watu! Inavyoelekeà hawatatoa leo kwa kisingizio cha sikukuu, wakati jana pia ilikuwa jumapili lakini wakaamua kuwarusha watu roho!ivi sababu kibwa ya tcu kifunga link yao jana ilkua ni nn
hahaha... pilau italika vizuri leo.
hahaha hawa jamaa wataharibu shereheUenda pilao ikawa chungu leo