Tcu jina lipo,chuoni jina halipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu jina lipo,chuoni jina halipo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by IDUKILO, Aug 30, 2012.

 1. I

  IDUKILO Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jf mimi ni kati ya watu waliochaguliwa kujiunga na chuo cha kairuki lakini jina chuoni halipo cha kushangaza ukienda chuoni wanasema rudi tcu ukienda tcu wanakwambia,ukiona jina chuoni halipo basi chuo kimekukataa yaani huna sifa za kujiunga na chuo hicho.
  sasa swali kazi ya tcu ni nini?, na iweje tcu wakuone una sifa halafu chuo kikuone huna sifa jamani naomba mnisaidie.
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ulipata ngapi mkuu..
   
 3. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  du mkubwa hapo labda angalia ufaulu wako kama vip wape kitu kidogo
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  dah mkuu pole sana!! na hiyo shida si yako tu wengi sana washakuja hapa JF kwa tatizo kama lako!! ila hapo wenye shida ni tcu na sio chuo...sasa hapo wabane wakwambie cha kufanya maana mda unazidi kwenda....
   
 5. K

  Kibulu Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  4 ya ualimu hiyo!!!
   
 6. h

  handboy Senior Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaaa
   
 7. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kijana inaonekana pesa iko kama vipi? Wahonge upate nafasi
   
 8. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Subiri second round selection. Dead line ya kuomba si imepita jana?
   
 9. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hili tatizo ni serious sio kama baadhi yetu tunavyolidhihaki. TCU wanahusika moja kwa moja kwani walikuwa na muda wa kuamua Eligibility ya mtu katika chuo husika na kumpa admission. kama vyuo navyo vinaanza selection za kwao kwa candidates wale2 basi mfumo mzima una tatizo.

  nina mfano hai wa mtu ambaye TCU wamemu admit SUA - BRD lakini kwenye orodha ambayo iko website ya SUA hayumo - ni usumbufu huo
   
Loading...