TCU ipo kuboresha mfumo mzima wa elimu ya juu au?

eboguti0014

New Member
Aug 10, 2012
2
0
Nashindwa kuelewa taasisi zinazoanzishwa Tanzania kwetu hapa sijui huwa tunapata wapi ushauri maana more often than not zinakuwa zina disadvantages kibao kuliko hata advantages. Kama kwa hali ilivyo kwa sasa sioni hata msaada unaotolewa na hawa TCU kama chuo kama UDSM inaweza kurelease matokeo yake kabla ya official announcement ya TCU yenyewe si bora wanafunzi wangeachwa wawe wanaapply direct kwenye vyuo??
 
nibola warudishe mfumo wazamani kama hali ndio hiyo maana tcu imejaa uswahili mwingi sasa mpaka dakika hii mtoto wamkulima hajapata matokeo toka tcu nasiku yakulipoti chuo inakaribia kama unakuta no loan safari yaelimu inaisha .
 
Back
Top Bottom