Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,101
- 10,455
First round watu wamekosa nafasi katika vyuo walivyoomba...
Hao waliokosa nafasi first round wakapewa nafasi ya kufanya tena application round ya pili...
Lakini leo hii vyuo vinatoa majina ya second batch, zile programz ambazo zilijaa mpaka kupelekea watu kukosa nafasi round ya kwanza kuna watu wamechaguliwa, tena wengi tu..!
Swali: Hao watu waliochaguliwa second round katika programz ambazo zilijaa first round wametokea wapi..!?
Pia,vyuo vinatoa majina ya watu waliochaguliwa second round lakini applicants wakiingia katika accounts zao TCU wanaambiwa SYSTEM imefungwa na mchakato wa kuwapangia vyuo bado unaendelea...
Hii imekaaje TCU..!?
Mimi si MUATHIRIKA katika haya, lakini haya MAPUNGUFU yamenishangaza kidogo..!!!