Jaman hatima ya profile za aplicant wa second round ztaandkwaje? Maana had saiz system clossed ila majina vyuon yameanza kutoka kwann wastoetaarifa kwa profile ili kuwaelewesha ambao hawajapata vyuo wajue kipi kinaendea kama sellected au not sellecte mtu unaconcetrate kutafta majina huku hauna uhakika kama umepangiwa chuo huo ni uhuni,ufusika,ukiritimba,utapeli na ukuku plus umbuzi na hapa serikal ya magu inatakiwa kuwa nakin la sivyo tutapoteza thaman ya taifa la tz!
Una matatizo. Kama mwanafunzi mwenyewe ndiyo wa hivi ndiyo maana hawakukuchagua