CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
'Academic' is the adjective that should have been used to describe the word 'institution' (which is a noun).
Both terms are correct in the present usage!
'Academic' is the adjective that should have been used to describe the word 'institution' (which is a noun).
wewe mwenyewe kiingereza hujui halafu unajifanya kuponda, tena basi unaandika kwa kiingereza na kwa kujiamini sijui ulifikiri utaonekana una akili kumbe unajichoresha, ona sasa hueleweki si ungeandika kiswahili tu.. yaani hata hujui matumizi ya alama ya kuuliza? Kweli nchi yetu safari bado ni ndefu!Sawa kabisa, but shows how careless you are!!!!!! Academician institution like TCU ought to proof read whatever it writes/types. You can not escape blame!
Both terms are correct in the present usage!
wewe mwenyewe kiingereza hujui halafu unajifanya kuponda, tena basi unaandika kwa kiingereza na kwa kujiamini sijui ulifikiri utaonekana una akili kumbe unajichoresha, ona sasa hueleweki si ungeandika kiswahili tu.. yaani hata hujui matumizi ya alama ya kuuliza? Kweli nchi yetu safari bado ni ndefu!

Acha kuzidi kuchemka wewe ni "An academic Insitution" na si vinginevyo! Hivi kweli na unapata hata nguvu za kubishana?, mtu usiyejua hata ni wapi pa kuweka alama ya kuuliza?
Wala siachi, sidhani wewe ulivyoandika "Insitution" hapo juu uko sahihi. Yale yale!!!! This means what! hujui kiingereza? au umepitiwa. With TCU, that was and is still a silly mistake!!! hakuna slip of fingers, ni kosa ambalo if I were your boss, I will fire you outright!!! Muulize yaliyompata aliyekuwa afisa habari TFF!!! Ni kosa ambalo hakuweza kusamehewa, so obvious!
You still have a lot to learn about the mechanics of grammar and syntax.
watu kazi yenu kulaumu mtafikiri mna pepo la kulaumu,
nimewahi soma site nyingi na hayo ni makosa ya kawaida we dogo,
Kosa hilo nikubwa sana na wasilione muda wote huo. Inaonyesha uzembe wa aina fulani wa hali ya juu. Sio kulaumu, mara nyingi tunakosea sana humu jamvini tunapo-post articles zetu, lakini no body bothers kama ulivyosema ni kosa la kawaida!!! Sasa wewe ona bado kuna tangazo linalosema kuwa application deadline ni tarehe 4/7/2012. Kama wanajali kazi yao kwa nini wasilibadilishe!!!
Nobody, not "no body".
Acha kuzidi kuchemka wewe ni "An academic Insitution" na si vinginevyo! Hivi kweli na unapata hata nguvu za kubishana?, mtu usiyejua hata ni wapi pa kuweka alama ya kuuliza?
Wala siachi, sidhani wewe ulivyoandika "Insitution" hapo juu uko sahihi. Yale yale!!!! This means what! hujui kiingereza? au umepitiwa. With TCU, that was and is still a silly mistake!!! hakuna slip of fingers, ni kosa ambalo if I were your boss, I will fire you outright!!! Muulize yaliyompata aliyekuwa afisa habari TFF!!! Ni kosa ambalo hakuweza kusamehewa, so obvious!
Hili kosa la no body purely is slip of fingers! Lakini sio la TCU. I know no body should be a single word-nobody, kama nilivyosema humu jamvini tunakosea sana na sina haja ya ku-proof read post za humu maana there is no need of doing so as long as the message is hammered home!! kama wewe ulivyokosea insitution-najua hii ni haraka na sio kuwa hujui kiingereza!!
Una uhakika ni mimi ndiye niliyeandika 'insitution' au wewe ndiye uliyokosea kwa kuchanganya madesa? Hebu rudi nyuma kidogo urudie kusoma vizuri.
Anyway, naona unawateta sana TCU, nadhani unafanya kazi humo! Nakushauri, if you are an employee of TCU with managerial position, please before posting anything on your website, make sure you read and read and read again and again what you have assigned your Juniors to do! Nice to converse with you. Wish you an enjoyable evening!
Well said. Nakubaliana na wewe, but try to go through your signature again in case there's a typing error.
sasa Weclome na Sytem ndo nn???
Kwanza, sijui hata hiyo TCU ni nini. Sijui walipo na sijawahi kushughulika nao kwa jambo lolote lile
Pili, siwatetei. Wewe umewakosoa na katika hilo ukatenda makosa yako mwenyewe ya kisarufi na sintaksi.
Basi ndiyo nami nikakukosoa wewe. Au wewe hupendi kukosolewa na unapenda tu kukosoa wengine?
sitetei, ila That is simple typing error, haven't u ever done any typing error?!!