Tcu applicants, do this pliz, tushukuru kwa yote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu applicants, do this pliz, tushukuru kwa yote!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msherwa, Aug 21, 2012.

 1. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  THANK LORD, THANK ALOT, I WILL PRAISE YOU FOREVER

  You are Selected To Bachelor of Education in Arts at University of Dodoma

  JAPO SIKUIOMBA


  LAKINI TWATAKIWA TUSHUKURU KWA YOTE, TUWE NA SHUKRANI, AMINI MUNGU ANA MAKUSUDI KUKUWEKA HAPO ULIPO
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sawa sawa mwalimu.
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tuko pamoja
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  jiandae kugoma miaka 4 ijayo
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Inakuwaje upangiwe kozi ambayo hukuiomba? TCU wametoa majina ya watu ambao wamekosa nafasi walizoomba na kuwashauri waombe upya - second round application (kwa masingi kuwa wanaqualify). Kama hili unalolisema kweli linawezekana, sioni mantiki ya kuwataka hao wengine waliokosa waombe upya (huku, wengine kama wewe mkipangiwa kozi ambazo hamkuomba!). Au kuna kitu sijaelewa katika hili?
   
 6. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu thats so important
   
 7. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  tatizo tanzania na tcu system are same coin with differing faces, hawajagusa machaguo yetu, wametuchukua wanavyotaka wao, acha twende watakavyo, maana hata mitihan walisahihisha wao
   
 8. nasssen

  nasssen JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 80
  hiyo ni kwel kabisa wakuu,manake hata mchz wang nae jina lipo kwa wale wa second selection lakini kapata selection ya udom...kunanini hapa??????
   
 9. J

  Jamaa wangu New Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu na akubalik..!
   
 10. J

  Jamaa wangu New Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu atabaki kuwa ni mungu hata kama hakujibu kama ulivyo taka
   
 11. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amina mkuu
   
 12. S

  Safhat JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da same 2 me mkuu.
   
 13. S

  Safhat JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  big up mkuu.
   
 14. B

  Bil shankly Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nina hasira haswaa bora ata ungekuwa huchaguw na ku2mia mda na pesa kuomb bda ya matokeo wngchaguwa 2 wajuavyo wao km walvofnya ku2pa mafacult 2siyoytaka na kuyaomba! Wameniboa!
   
 15. I

  Ibrashinto Senior Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na mimi nichukue nafasi hii KUMSHUKURU MUNGU MUUMBA WA YOTE KWA KUCHAGULIWA! THANK YOU LORD! SAUT-BUKOBA TUJUZANE WAKUBWA ETI IKO MAENEO GANI
   
 16. T

  Thuwaein Yuzarseif New Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nadhani mfumo mzima wa tcu bado haujawa makini. imetokea wengi tu wamepata kozi wasizozitarajia
   
 17. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  kama ndiye Mungu alipanga uje ujikomboe kimaisha kwa course tofauti na hzo ulizoomba, NI NANI ATAZUIA? Si TCU, Bali ni Mungu kapanga jambo kwa ajil yako. FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE, TENA NASEMA FURAHINI.
   
Loading...