TCRA zuieni wizi wa simu za mkononi

TCRA zuieni wizi wa simu za mkononi

Mimi yangu imeibiwa siku tano zilizopita ila nilikuwa natumia security ya cm yenyewe niliweka password ikiweka line nyingine tu inatuma msg kwenye number nilizozisave kwamba ilete taarifa na imeleta kwa number zote tatu nilizosave pamoja na number hiyo jaama aliyoflash anatumia ila nimempigia na kuchat naye na msg kumuomba arudishe amekataa anasema Yy mjanga kazaliwa mjini sitakaa niipate ila kanipigia pia na number mpya nimeisave what's ikaleta picha zao ss namba u shauri nitawapataje kwani hizo number zote zipo hewani nawezaje kuwatruck.
jambo la busara ni kuomba msaada mtandao wa simu, kumuangalia mobile pesa (uone jina lake) pamoja na kumripoti polisi. kumtrack kawaida huwezi ila kwa msaada wa social network unaweza kwa level ya mtaa. mfano facebook kama mtu hajafunga privacy zake akikutext inaonekana msg ameituma toka wapi, tumia facebook messenger kujua kama hio namba ipo fb
 
Prove kwanza sio mhalifu unatafuta njia za kukwepea!
 
jambo la busara ni kuomba msaada mtandao wa simu, kumuangalia mobile pesa (uone jina lake) pamoja na kumripoti polisi. kumtrack kawaida huwezi ila kwa msaada wa social network unaweza kwa level ya mtaa. mfano facebook kama mtu hajafunga privacy zake akikutext inaonekana msg ameituma toka wapi, tumia facebook messenger kujua kama hio namba ipo fb
polisi wenyewe chenga tuu, dharau kibao sasa ngoja nikutane na maskin halaf ukute hata ana shida ya hela uone kama ntamsaidia, nawachukia sana hawa watu
 
Hizi issue kama ulinunua simu dukani na ukawa na risiti yake na imei basi inakua kuna kaunafuu kidogo katika kuifuatilia kisheria
Lakini ukienda tu mikono mitumi bila risiti inakua longo longo nyingi

Kwa wewe mwenye iphone umefanya uzembe mkuu, ulipaswa kuwa umewasha icloud yako kwenye find my phone

Kwa kawaida ukiibiwa simu nenda risiti yako na imei polisi
Polisi wanatakiwa wakuandike barue uende kwenye mitandao yote kupeleka taarifa kama imei hiyo inatumika na no ipi?
Nchi zilizoemdelea tcra wangekuwa wanadata za mitandao yote hivyo unakwenda kwao tu inakua rahisi kumjua mwizi wako
 
mkuu hizo nchi zilizoendelea tu hawawezi tumia imei kudaka simu zilizoibiwa sana sana watazi blacklist tu.

hio iphone yako hukuieka icloud?
Na kwakuongezea hata kama TCRA wakii black List bado Watu walo na maujuz yao watatumia Programer Machine Tool MFANO:Iphone wata change reagion S/N wata Flash Nand + EEprom +{HDD nayo itakuwa erased na ngoma ita rud mjengon kutumikaaa ka kalambwandaa na TCRA wao wata lock software tu en watu wao wata bypass kwa hadware wap na wap bado wizi hauzuiliki kamwe
 
TCRA wanalock software?? How?
 
TCRA wanalock software?? How?
ukiambiwa software inamaana wao wata deal na imei / icloud acc /navitu kama ivo vya ku code database so as to lock that device issues io ndo nlivo maanisha software but haita saidia kitu kwa mtu anae tumia hadwarr means mana anauwezo wa ku reverse kilakitu na device ikawa ina tinga mzigo kama kawa
 
Nadhani wengi hapa wana comment na hawana idea ya jinsi GSM inafanya kazi. Kwa ufupi tu wakati SIM yako inaregister inatuma pamoja na mengine SIM Identification na Hardware Identification data. So bado TCRA wanaweza tu kukudaka. Suppose TCRA waamue kuandikisha simu zote na waamue ku black list IMEI yeyote ambayo haiko kwenye whitelist... Game over!

Ukiiba ikabakia na IMEI ileile watakudaka kwa SIM info. Ukibadili IMEI ikawa ya mtu mwingine ina maana kutakuwa na double IMEI. Watawasaka wote wawili kwa SIM info na mwisho wa siku watakudaka.

Ukigoogle IMEI fake ambayo ni genuine somewhere else kama chief alivyo suggest unakuwa blacklisted. Utachezea magemu tu simu hiyo. Utamuuzia nani simu haina network?

Vyovyote vile, TCRA wakiamua hakuna wizi wa simu utafanyika. Sema hawajaamua au hawana watu walioamua tu, nukta!
 
unaweza pata cm ilio ibiwa ukaenda kwa fund cm au ukatafta cm kwa mtu alie uza cm yake itumike kama spea uka copy na tumia imei na S/N zake na data zote ka bluetooth ,WiFi na upupu mwingne uka z back up kwenye HDD, Nand na eeprom ilokuwa erased kwa programer machine Tool uka zi pachika apo kweny mothet board ukawa Free unatumia imei ya cm isipo in use pia huwez uka bun imei za iphone et uka double ukajkuta ume fananisha imei za cm mbil haiwezekan sababu imei za kila iphone zina kuwa calculated ili zi fit with S/N na Data nyingne kama android inavokuwa ukiweka imei yoyote ina piga kaz na may b upate same device ilokuwa na model sawa na device ambayo inatumika kama spea utumie imei zake but hata TCRA pia hawa wez ku track double imei katka cm mbil zilizopo nchi tofaut sababu TCRA ina Authority na Tanzanian Communication ko cdhan ka inaweza interfear device zilizopo nchi tofaut ili imachishe na device zilizopo Tanzania itakuwa ina trace ip za watu na cdhan ni legal ko en To prove them wrong co device zote zilizo flashiwa na wrong imei zmefungiwa most of them zipo mtaani nz zinaendelea kupiga mzigo kama kawa.
 
Gharama za kufanya haya yote ni kiasi gani na hiyo simu huyo mwizi anaenda kuuza kiasi gani?
 
haha kwa gharama kaka hapo ume nena ni mkas[emoji23] [emoji23] [emoji23] japo na TZ hamna mtu anae fanya i kaz...mafundi wanajua ku flash tu[emoji23] [emoji23]
 
Hapo ni kama unabadili simu na wezi wapendwa vya bwete hawawezi hiyo biashara. So TCRA wakiamua hiyo biashara inaishia hewani na utakuwa na amani kutembea na Tecno yako bila hofu
 
nomer nomer [emoji12] [emoji12] wakijitaid na kutia jitihadaa ikikutokomeza wiz wataweza but kwaku improve Technology mana ata Technology walo tumia ku zima cm pia bado mtu ambae umekaa fresh kwenye hifani unaona kama utani mana unaweza kufanya makolokocho na cm ikawa inatukika tenaa upyaaa bila shida af wao wamezma mara1 i process ingekuwa continuous coz ad saiv cm fake kwa navo jua zilisha jaa mara double ya walzo zima.[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom