TCRA, kwa maoni yangu, walipaswa kufanya hili na kulitangaza kabla ya simu feki.
Hili tatizo lingekomesha wizi wa simu maana watu wangekoma kununua mtaani in turn wezi wangekosa pa kuuza.
Nadhani bado wana nafasi ya kulifanyia kazi hili. Lakini pia sio kwamba haiwezekani. nadhani kinachoshindikana kwa ulaya ni privacy zaidi kuliko kushindwa ku track. Wakiamua wanaweza kuwafuatilia. Ni kuna mifumo ya cetralized information sharing yanakosekana tu. Na pia sababu za kibiashara kwa watu ambao wako privacy sensitive.
Its completely possible and can be done!