Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,273
TCRA: mpaka sasa VODACOM ina wateja milioni10, AIRTEL mil5.9, tigo mil4.6, ZANTE mil1.3, TTCL lak2 na 26, SASATEL 8,498,BENSON 2074.

Hiyo ya Vodacom sikubaliani nayo,mimi nina line ya Voda niliyoandikisha na sijaitumia miezi 6,nawafahamu wengi kama mimi na wengine hutumia kama dharura tu.

RA na kampuni yake ya voda pamoja idadi ya wateja wote hao kutokana na takwimu bado voda haipo kwenye kumi bora ya makampuni ya kulipa kodi .du!kweli haka kanchi kanaliwa na wenye meno

Tigo mbwembwe zote, airtel kawapiga bao.
Hiyo ya Vodacom sikubaliani nayo,mimi nina line ya Voda niliyoandikisha na sijaitumia miezi 6,nawafahamu wengi kama mimi na wengine hutumia kama dharura tu.
TCRA: mpaka sasa VODACOM ina wateja milioni10, AIRTEL mil5.9, tigo mil4.6, ZANTE mil1.3, TTCL lak2 na 26, SASATEL 8,498,BENSON 2074.
TCRA: mpaka sasa VODACOM ina wateja milioni10, AIRTEL mil5.9, tigo mil4.6, ZANTE mil1.3, TTCL lak2 na 26, SASATEL 8,498,BENSON 2074.

Hata mimi nimeshangazwa sana!
Bila huduma yao ya M-Pesa walishapote kabisa!
Hao wateja wa VODA wako wapi? Mimi nina zaidi ya mwaka sasa sijapuga wala kupokea simu ya VODA! Nadhani na wengi qenu pia!