TCRA yatoa takwi za idadi ya wateja kwa kila kampuni ya mawasiliano Tz!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
TCRA: mpaka sasa VODACOM ina wateja milioni10, AIRTEL mil5.9, tigo mil4.6, ZANTE mil1.3, TTCL lak2 na 26, SASATEL 8,498,BENSON 2074.
 
Hiyo ya Vodacom sikubaliani nayo,mimi nina line ya Voda niliyoandikisha na sijaitumia miezi 6,nawafahamu wengi kama mimi na wengine hutumia kama dharura tu.
 
Hiyo ya Vodacom sikubaliani nayo,mimi nina line ya Voda niliyoandikisha na sijaitumia miezi 6,nawafahamu wengi kama mimi na wengine hutumia kama dharura tu.
<br />
<br />
Hata mimi nimeshangazwa sana!
Bila huduma yao ya M-Pesa walishapote kabisa!
 
RA na kampuni yake ya voda pamoja idadi ya wateja wote hao kutokana na takwimu bado voda haipo kwenye kumi bora ya makampuni ya kulipa kodi .du!kweli haka kanchi kanaliwa na wenye meno
 
RA na kampuni yake ya voda pamoja idadi ya wateja wote hao kutokana na takwimu bado voda haipo kwenye kumi bora ya makampuni ya kulipa kodi .du!kweli haka kanchi kanaliwa na wenye meno
<br />
<br />
Great thinker,kodi gani unayoizungumzia? VAT,PAYE au Corporate Tax? Na kama unazungumzia corporate tax hiyo inalipwa kutokana na faida iliyopatikana,pengine faida wanayopata ni ndogo hivyo kuathiri kodi inayolipwa?
 
Hao wateja wa VODA wako wapi? Mimi nina zaidi ya mwaka sasa sijapuga wala kupokea simu ya VODA! Nadhani na wengi qenu pia!
 
Hiyo ya Vodacom sikubaliani nayo,mimi nina line ya Voda niliyoandikisha na sijaitumia miezi 6,nawafahamu wengi kama mimi na wengine hutumia kama dharura tu.

Hata mimi nina laini ninayoitumia kwa ajili ya Mpesa, hata namba yake siijui kwa kichwa, mke wangu nae ni hivyohivyo, nina shemeji zangu nyumbani nao ni kama hivyohivyo tu. Si hiyo takwimu inatakiwa igawanywe kwa tatu kupata idadi kamili.
 
TCRA: mpaka sasa VODACOM ina wateja milioni10, AIRTEL mil5.9, tigo mil4.6, ZANTE mil1.3, TTCL lak2 na 26, SASATEL 8,498,BENSON 2074.

Sasa hapo inakuwaje Vodacom wanalipa kodi ndogo zaidi ya Airtel? Au Airtel wana biashara nyingine?
 
Du TTCL ndiyo imeshindwa kabisa, yaani hata kuuza data????????????????????????
 
Kodi walizotakiwa walipe huenda ni zile wanazojengea vibanda vya askari wa usalama barabarani. Teh teh teh teh.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom