Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 757
View attachment 2781980
Siku ya ijumaa mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania iliweza kutoa tamko juu ya matumizi ya VPn nchini ni kosa la jinai hivyo unaweza kufungwa au kutoa faini ya milioni 5 au vyote kwa pamoja.
Lakini watu wengi wamejiuliza maswali wanawezaje kujua kama natumia Vpn Kwenye simu au kompyuta?? Leo nakujuza japo kwa uchache TU si unajua Teknolojia ni Yetu sote .
Vpn kirefu chake ni Virtual private network Kazi yake ni kumfanya mtumiaji wa intaneti kuwa Salama kwa kuficha utambulisho wake wakati anatumia mtandao kufanya shughuli Fulani.
Watu wengi utumie Vpn kuingia kwenye website (tovuti) , apps au sehemu ambazo zimezuiliwa au huduma ambayo nchi au eneo uliyopo hauwezi kutumia ndipo watu utumia Vpn kuingia maana taarifa nyingi za kibinafsi zinakua zinafichwa.
View attachment 2781984
View attachment 2781983
Unajua ISP(Internet service provider) q anatumika sana Kwenye masuala mbalimbali ya intaneti kwani yeye ndo anatupa ruhusa ya kutumia Netflix, kuchati , kutuma email kufanya Chochote Kwenye intaneti.
Kiufupi TU Unapojiunga Kwenye Vpn Tcra kupitia ISP ambao ni Tigo, voda, Airtel, halotel wanajua unatumia Vpn na umejiunganisha lakini hawajui nini unachokifanya ndani yake kwa sababu taarifa zote zilizopo ndani ziko very Encrypted na haiwezekani kujua kilichopo ndani.
View attachment 2781981
ISP anaweza kujua vitu kadhaa TU Kwenye Vpn
• kiasi gani Cha data umetumia ulipojiunga na Vpn
• Ni muda gani umetumia Kwenye kujiunganisha na Vpn
• Isp anajua umefungua google chrome lakini hajui ndani ya Google chrome ume search kitu gani nk.
Kikubwa unapotumia Vpn tumia Kwenye matumizi yaliyo sahihi sio kutumia Kwenye matumizi ambayo yanavunja sheria kwa namna moja au nyingine.
Nasimama na Tcra Kwenye hili.