Kwan wanasajili bila vitambulisho vya chuoKampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
MPWAA KUMBE N WEWEE DOH HAPA UMECHEMSHA KIDOGO KUMRADHI KWAKUTOFAUTIANA HAYO MAKAMPUNI YENU BOMUU....UMEJIULIZA KWANINI SERIKALI WAMEWAPA TENDER YA KUSAMBAZA NET HADI VIJIJIN NA SI TIGO WALA DAVO?? UTAELEWA WHO R THY NA INFO TU KUNA SYSTEM WANALETA YAANI TUTAWASAHAU KABISA TIGO NA DAVOKampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
huyu escort 1 atakuwa ke! wanaume hatuna mwanaume mshakunaku kama hili mbulukenge!Jinsia gani ww?!
Nadhani mtoa mada atakuwa mshirika wa moja kati ya makampuni aliyojidhihirisha kuyatetea kama sio basi itakua hajui asemalo labda kwakua haiishi mazingira yazungukayo vyuo. Hakuna kampuni ya sim isiyotoa line zenye university offers kwa raia wa mtaani wasiokuwa wanachuo. Labda wewe mtoa mada hukubahatika kupata hivyo inakuuma!Kampuni Ya Simu Ya Halotel Kupitia Mawakala Wake Imekuwa Ikiuza Laini Za Wanachuo Kwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Si Wanachuo Hivyo Kuwa Wamekiuka Kanuni Na Masharti Zilizowekwa Na Mamlaka Husika. HALOTEL Ni Kama Wanakwepa KODI Tu.
Kwa Sasa Ukiwa Na Buku Mbili Yako Unapata Laini Ya Chuo Kutoka Halotel Ambapo Inakuwezesha Kuunga Bando La Chuo Popote Ulipo Hivyo Kufanya Kampuni Nyingine Kukosa Wateja Kabisa.
TCRA Wachukulieni Hatua Hawa Wavietnam Wanaowanyima Haki Wanachuo Wetu Wa Tanzania.
Pia Watanzania Wenzangu Ambao Sio Wanachuo Tuache Kupenda Kitonga, Bando Za Chuo Tuwaachie Wanafunzi.
Nasubiria MADONGO Yenu Maana Ukweli Siku Zote HUUMA.
Jumapili Njema Kwenu.
Ndezi kweli......