TCRA washughulikieni Halotel

Kama halotel wanafanya hivyo hiyo ni marketing strategy yao kupata wateja wao sasa kwa nini kuwashtaki ndio namna wameona kuwasaidia watu kupunguza ukali wa maisha kwa watu wengine ambao hawawezi kununua bandle za gali
 
Hutaeleweka. Wa Tanzania tunapenda rahisi na bure bila kufuata sheria. Uliza wanaoishi kwa wenzetu utajua kama mambo kama piracy ni rahisi kufanywa ovyo. Wenzetu wapo proud kununua vitu toka kwenye genuine source...
Mimi nimekuelewa mleta mada.
 
Yani hata sujui nicoment kitu gani. Utakuwa unafanya kazi kwenye kampuni za simu za kinyonyaji(Vd na Tg in particular) ndio maana imekugusa. Mimi sio mwanachuo na laini ninayo 500 Tsh napata 500 mb kwa wiki na naweza kuunga mara nyingi niwezavyo.

Waambie hao wanyonyaji nao wafanye hivyo maana mambo ya game theory ndivyo yalivyo
 
Hakuna jema,mvua ikinyesha lawama,jua likiwaka lawama,hakuna kampuni ya simu ambayo inawatendea haki Watanzania.wote ni wezi tu afadhali hata hao Halotel.
 
Wabongo bwana. Mm nilijua hawalipi kodi. Hata wakiamua watanzania watumie bure ni juu yao. Kikubwa walipe kodi stahiki
 
Ngoja niwapigie debe halotel.....kama una ndungu mwanachuo muombe akununulie line ya halotel mwanafunzi.....baada ya hapo popote pale we unajiunga.......haina kwenda chuo....afu mtandao wao hauna cha kusubir we ni kuclick tuu....mi nilikuwa na line ya tigo bt simu yang ni ya line 2, kwahyo nikajimovezisha tuuu.....tgo nw naitumia kwa kupokea mesej na simu......walininyanyasa sana.....alafu popote pale inapatikana......
 
wewe utakuwa unafanya kazi tigo au voda,ingekuwa busara na kampuni nyingine zigawe line kama hizo
 
Wewe ni mwanachuo au mwanakijiji?
maana sijakuelewa vizuri.
 
Huu sasa ndio umefikia vile viwango vya kuitwa WIVU WA KIKE..
 
umenikumbusha SWOT analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…