TCRA wamenizimia Iphone original, eti ni simu feki

tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,086
Likes
3,085
Points
280
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,086 3,085 280
Kwanza samahan wadau wa siasa kwa kuleta mada hii sehem hii lakn maisha ni siasa!! Ni pili sehem hii ya siasa ndio hutembelewa na watu wengi ni fursa kutolea elim kwa jamii. Naenda kwenye mada husika sasa.

TCRA tangu wametangaza kuzima simu feki raia wengi wanapata shida kwa kukosa mawasiliano kwa kuzimiwa simu zao , mm nikiwa mmoja wao baada ya kuzimiwa iphone yangu original. Weng mnaweza kupinga kwa kudhan iphone yangu inaweza pia kuwa feki . Naweza kuwahabarisha kuwa mm ni mdau katika tasnia ya mawasiliano na hasa upande wa simu . Kuthibitisha hilo nawapa link ambayo mnaweza kuitumia kuchek simu zenu kama fek au org!
Check IMEI - IMEI.info

Sasa kama wamezima iphone yangu na kuita fek je wenye simu aina zingine je? Wanaojua iphone watakubaliana na mm kwamba hakuna simu isioingiliwa kama iphone . Iphone iko moja tu dunian coz imei namba haibadilishiki kwa njia yeyote. Hapa naandika kupitia hiyo kwan zilizo nying huzimwa network na kuacha internet ikawa inafanya kaz . Ila kupiga huwez.

Nitoe elim kidogo kwa wananchi wenzangu, TCRA wameanza hii kaz bila kujipanga vyema na hivyo kupitia mawakala wao wa mitandao husika wanazima simu bila kubagua simu fek wala orginal. Lejea nimekwambia ni mdau katka tasnia hii , hivyo nimepokea malalamiko mengi ya raia kuzimiwa simu zao na nimeziona simu nying orgnal zikiwa zimezmwa .

Nimeona samsung Tecno na ........! Ila ajabu zaid baada ya kuona hata iphone at ni feki!!!! Usione ajabu simu fek inadunda orgnal imezma japo hata fek zingine zimezmwa. Ni kama anayezima anaselect all na kuzima pasipo kuchambua ip azme ipi iwe hai. Yaan anatumia mfumo wa delete all.....

Nitoe wito kwa TCRA wakae chin na makampun ya simu maana kupitia uzmaji wa simu ni kama wengine wameona fursa wa kuuza bidhaa zao . Kwa mfano Tigo ndio huongoza kwa kuzma simu za watu ili uende shop kwao wakuuzie simu nyingine na wakupe na matangazo mengne. Wanakwambia tupa mle kwenye box la takataka lete hela tukupe simu nyingine.
Chonde chonde tizamen upya mfumo wenu wa uzmaji simu mnatesa raia hata wenye simu orgnal. Mm najielewa cna presha je kwa wasiojielewa!

Na wewe kama umezimiwa simu yako orgnal nenda mamlaka husika maana sio sm zote zmezmwa ni fek. Na kama pia ni mhanga lete maon yako hapa tuokoe wengine.

Je ww hujapata shida na simu yako original ???ushahid huu hapa!!!!!??
070d3ba58642632f700b697213bc411e.jpg
 
M

Manosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
4,392
Likes
2,420
Points
280
M

Manosa

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2012
4,392 2,420 280
Umepigwa,wachina hatari sana,
 
nasmapesa

nasmapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Messages
3,976
Likes
3,036
Points
280
nasmapesa

nasmapesa

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2014
3,976 3,036 280
Wakati wa mikurupuko huu,tutakoma.
 
double R

double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
1,673
Likes
1,112
Points
280
double R

double R

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
1,673 1,112 280
Iphone zimezuia mawasiliano ya kupiga simu. Wanadai TCRA wanawadai hao watengeneza iphone sijui fee gani. So wamewazimia ili hao walipe iyo fee. Source. Wenye iphone waliouliza airtel.
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,640
Likes
3,857
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,640 3,857 280
Duu pole mkuu..
 
Deeboyfrexh

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
995
Likes
109
Points
160
Deeboyfrexh

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
995 109 160
Halafu we si ndie yule mpondaji mkuu wa tecno katika ule uzi, uliemuombea majanga still anapeta na c8 yake,
Yamekurudia mwenyewe na simu lako la millioni hahahahah gadem sana!
 
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
8,497
Likes
6,546
Points
280
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
8,497 6,546 280
Na wewe unamiliki I phone na unasubiri mpaka inazimwa? Haaaa wenye simu za kawaida tu tuliwawahi kabla hawajakamilisha zoezi lao, hela ya kununua cm kila mwaka inatoka wapi kwa usawa huu. Pole halafu unaishi Dar jiji la wajanja!
 
Goodrich

Goodrich

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Messages
2,069
Likes
661
Points
280
Goodrich

Goodrich

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2012
2,069 661 280
Iphone zimezuia mawasiliano ya kupiga simu. Wanadai TCRA wanawadai hao watengeneza iphone sijui fee gani. So wamewazimia ili hao walipe iyo fee. Source. Wenye iphone waliouliza airtel.
Best answer
 
Topintz

Topintz

Senior Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
165
Likes
647
Points
180
Topintz

Topintz

Senior Member
Joined Aug 2, 2013
165 647 180
Mi pia iPhone yangu natumia airtel tangu jana siwezi kupiga simu wala haziingii, pia situmi sms wala kupokea. Network bar ipo empty, Ila internet inafanya kazi kama kawaida. Nadhani airtel inabidi watoe tangazo kuhusu hii ishu inaonekana tupo wengi wenye hili janga.
 
P

pure man

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
409
Likes
172
Points
60
P

pure man

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
409 172 60
Pole sana nenda kwenye setting taguta network,nenda kwa moderator kama ipo.utakuta GSM ONLY,CDMA, AU.CDM/Gsm
Hapo badili uwe unachagua moja wapo kila.wakat simu yako.ikiwa.inasumbua
 
Tarakilishi

Tarakilishi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2013
Messages
1,968
Likes
2,030
Points
280
Tarakilishi

Tarakilishi

JF-Expert Member
Joined May 19, 2013
1,968 2,030 280
Iphone huwa zinafanyiwa kitu kinaitwa jailbreaking. Huwenda simu yako ipo jailbroken. Jailbreaking inakuwezesha kuinstall app mbalimbali. So try to cheki that
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,210
Likes
7,592
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,210 7,592 280
Iphone huwa zinafanyiwa kitu kinaitwa jailbreaking. Huwenda simu yako ipo jailbroken. Jailbreaking inakuwezesha kuinstall app mbalimbali. So try to cheki that
Kwani uki-jail break ndio inageuka kuwa feki?
 
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
4,838
Likes
2,960
Points
280
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
4,838 2,960 280
Poleni wafikwa wa majanga wa tecno bado tupo tupo...!!!
88bc2b11894f69496c0123f214358a3a.jpg
 
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
7,965
Likes
5,795
Points
280
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
7,965 5,795 280
kwanza iphone ukihakiki namba yako jibu hupati
 
Babuj96

Babuj96

Senior Member
Joined
Mar 26, 2016
Messages
135
Likes
49
Points
45
Babuj96

Babuj96

Senior Member
Joined Mar 26, 2016
135 49 45
Kwanza samahan wadau wa siasa kwa kuleta mada hii sehem hii lakn maisha ni siasa!! Ni pili sehem hii ya siasa ndio hutembelewa na watu wengi ni fursa kutolea elim kwa jamii. Naenda kwenye mada husika sasa.

TCRA tangu wametangaza kuzima simu feki raia wengi wanapata shida kwa kukosa mawasiliano kwa kuzimiwa simu zao , mm nikiwa mmoja wao baada ya kuzimiwa iphone yangu original. Weng mnaweza kupinga kwa kudhan iphone yangu inaweza pia kuwa feki . Naweza kuwahabarisha kuwa mm ni mdau katika tasnia ya mawasiliano na hasa upande wa simu . Kuthibitisha hilo nawapa link ambayo mnaweza kuitumia kuchek simu zenu kama fek au org!
Check IMEI - IMEI.info

Sasa kama wamezima iphone yangu na kuita fek je wenye simu aina zingine je? Wanaojua iphone watakubaliana na mm kwamba hakuna simu isioingiliwa kama iphone . Iphone iko moja tu dunian coz imei namba haibadilishiki kwa njia yeyote. Hapa naandika kupitia hiyo kwan zilizo nying huzimwa network na kuacha internet ikawa inafanya kaz . Ila kupiga huwez.

Nitoe elim kidogo kwa wananchi wenzangu, TCRA wameanza hii kaz bila kujipanga vyema na hivyo kupitia mawakala wao wa mitandao husika wanazima simu bila kubagua simu fek wala orginal. Lejea nimekwambia ni mdau katka tasnia hii , hivyo nimepokea malalamiko mengi ya raia kuzimiwa simu zao na nimeziona simu nying orgnal zikiwa zimezmwa .

Nimeona samsung Tecno na ........! Ila ajabu zaid baada ya kuona hata iphone at ni feki!!!! Usione ajabu simu fek inadunda orgnal imezma japo hata fek zingine zimezmwa. Ni kama anayezima anaselect all na kuzima pasipo kuchambua ip azme ipi iwe hai. Yaan anatumia mfumo wa delete all.....

Nitoe wito kwa TCRA wakae chin na makampun ya simu maana kupitia uzmaji wa simu ni kama wengine wameona fursa wa kuuza bidhaa zao . Kwa mfano Tigo ndio huongoza kwa kuzma simu za watu ili uende shop kwao wakuuzie simu nyingine na wakupe na matangazo mengne. Wanakwambia tupa mle kwenye box la takataka lete hela tukupe simu nyingine.
Chonde chonde tizamen upya mfumo wenu wa uzmaji simu mnatesa raia hata wenye simu orgnal. Mm najielewa cna presha je kwa wasiojielewa!

Na wewe kama umezimiwa simu yako orgnal nenda mamlaka husika maana sio sm zote zmezmwa ni fek. Na kama pia ni mhanga lete maon yako hapa tuokoe wengine.

Je ww hujapata shida na simu yako original ???ushahid huu hapa!!!!!??
070d3ba58642632f700b697213bc411e.jpg
Hyo inavyoonekana tu ni copy kk, co OG.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,283
Likes
11,593
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,283 11,593 280
tikatika hujui chochote kuhusu simu za mikononi,hujui lolote kuhusu mtambo unavyofanya kazi,hujatembea una uzoefu na simu za Msimbazi tu
 
emanuel kiwonyi

emanuel kiwonyi

Senior Member
Joined
May 1, 2015
Messages
159
Likes
81
Points
45
emanuel kiwonyi

emanuel kiwonyi

Senior Member
Joined May 1, 2015
159 81 45
Wameizima lini mkuu kuna iPhone nazo nyingine ni feki Mimi nimeziona
 
Forum statistics

Threads 1,237,407
Members 475,533
Posts 29,287,424