TCRA wamenizimia Iphone original, eti ni simu feki

nami simu yangu orijinal imezimwa, nauhakika ni orijino, nilihakiki Tcra wakanithibitishia ni orijino, isivyobahati nayo imezimwa. Ila mimi niliogopa kusema maana nchi hii kwasasa ukisema watu hawakawii kukuita mchochezi. NI NOKIA YA TOCHI, SASA SIJUI TOKA LINI NOKIA MADE IN HUNGARY IKAWA FEKI?!
 
Mm nshauza sana iphone fekii mkuu do not panic ...mpe mwanao achazee game mkuu
 
Back
Top Bottom