TCRA: Tazameni radio Kwizera - Ngara

TCRA: Tazameni radio Kwizera - Ngara

Na wewe pia unatakiwa kuwekwa ndani kwa lile kosa la kuibia watu michango ya harusi!

Hahahahaaa 😳😳😳
Mkuu lile kosa bado sijalifanya ila nategemea kulitenda kiangazi hiki, michango bado inaendelea na ahadi kemkem.
 
Pombe na kamali ndio walipaji wakubwa wa kodi wa Tanzania....tunataka kodi kwa ajili ya kujenga reli mpya ya kisasa na mradi wa umeme wa Rufiji...

Kheeeee Yara'b toba, basi waruhusu na bangi sasa kama ndii hivyo.
 
Ina maana yamerejeshwa kimya kimya?

Nakumbuka hata Mh. Rais aliingilia kati kukemea haya natangazo ya Kamali, sasa kwa nini wameyarudisha tena?
Mambo ya kodi ayo...ilikua ni ngumu kuyatoa kwa sababu yanalipa kodi kubwa sana ukizingatia kipaumbele cha mkuu naye ni kodi so watakua wameamua tu kuyarudisha
 
Salaam Wakuu,

Sisi wakazi wa huku kanda ya Magharibi na kanda ya Ziwa tunaomba mtufikishie ujumbe MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA kuhusu namna ambavyo Radio tajwa hapo juu kuhusu mambo kadhaa; mfano-

1. Mara kwa mara huwa wanatoa matangazo ya michezo ya kubahatisha/betting (mfano alhamisi hii saa 3:05 jioni walitoa tangazo la Chezo na Ushinde na Biko licha ya kukatazwa na Mh. Rais kufanya hivyo)

2. Wamekuwa wakirusha hewani matangazo kuhusu pombe na vileo vingine ( mfano mara kwa mara wanatangaza kuhusu bia/kilevi cha Plisner King kwa uwazi uwazi)

3. Weledi na Maadili ya baadhi Watangazaji wao sio ya kuridhisha ni wa ho.vy.o kidogo kwani mara kadhaa wamekuwa wakitangaza au kusoma vitu visivyoeleweka (mfano: kushindwa kabisa kutaja kwa ufasaha majinina ya miji, vitu, watu na viongozi mbalimbali).

Tafadhali TCRA chukueni hatua na simamieni maadili na maudhui ya Vyombo vya habari kama hivi.
Wewe mwenyewe usiekosea hapo namba 2 na 3 ulivyoandika plisner badala ya pilsner na majinina badala ya majina umeandika kwa ufasaha?
 
Kheeeee Yara'b toba, basi waruhusu na bangi sasa kama ndii hivyo.
Canada na Kwa Mzee Trump kwa baadhi ya majimbo kunyonga msokoto wako wa bangi ukiwa stand unasubiri usafiri ni ruksa kabisa, na karibuni Afrika tutarhusiwa maana sheria ya kuzuia ilitoka hukohuko ambako wameanza kuruhusu!
 
1120353

Hongereni sana Wazee wa Michezo ya Kubahatisha na Mikeka kwa kufanikisha jambo hili, huenda ndio maana sasa hivi matangazo yenu yameanza kwenda kwa hewa.
 
Salaam Wakuu,

Sisi wakazi wa huku kanda ya Magharibi na kanda ya Ziwa tunaomba mtufikishie ujumbe MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA kuhusu namna ambavyo Radio tajwa hapo juu kuhusu mambo kadhaa; mfano-

1. Mara kwa mara huwa wanatoa matangazo ya michezo ya kubahatisha/betting (mfano alhamisi hii saa 3:05 jioni walitoa tangazo la Chezo na Ushinde na Biko licha ya kukatazwa na Mh. Rais kufanya hivyo)

2. Wamekuwa wakirusha hewani matangazo kuhusu pombe na vileo vingine ( mfano mara kwa mara wanatangaza kuhusu bia/kilevi cha Plisner King kwa uwazi uwazi)

3. Weledi na Maadili ya baadhi Watangazaji wao sio ya kuridhisha ni wa ho.vy.o kidogo kwani mara kadhaa wamekuwa wakitangaza au kusoma vitu visivyoeleweka (mfano: kushindwa kabisa kutaja kwa ufasaha majina ya miji, vitu, watu na viongozi mbalimbali).

Tafadhali TCRA chukueni hatua na simamieni maadili na maudhui ya Vyombo vya habari kama hivi.
Nadhani ingekuwa busara zaidi kuiandikia radio hiyo kwanza kuhusu hayo mapungufu.
 
sasa hiyo plisner imekukosea nini jombaa...... tamu sana hiyo halafu ni buku jero tu!
 
Salaam Wakuu,

3. Weledi na Maadili ya baadhi Watangazaji wao sio ya kuridhisha ni wa ho.vy.o kidogo kwani mara kadhaa wamekuwa wakitangaza au kusoma vitu visivyoeleweka (mfano: kushindwa kabisa kutaja kwa ufasaha majina ya miji, vitu, watu na viongozi mbalimbali).

Tafadhali TCRA chukueni hatua na simamieni maadili na maudhui ya Vyombo vya habari kama hivi.
Vipi Bob ... wameshindwa kutamka intapenuwaa?
 
Mtoa mada nadhani una lako jambo mbona matangazo ya kamari kama Biko yanatangazwa redio na tv nyingi hapa nchini? Mbona vinywaji vyenye vilevi kama bia na konyagi vinatangazwa kila kona ya nchi hii? Lugha yao kwa mfano lafudhi mbona ukienda redio nyingi za kikanda karibia watangazaji walio wengi utakuta wanagubikwa na na lafudhi za maeneo husika? Hebu jaribu kutoka nje ya boksi usikilize na redio mbalimbali hasa za kikanda utaelewa vizuri.
 
Salaam Wakuu,

Sisi wakazi wa huku kanda ya Magharibi na kanda ya Ziwa tunaomba mtufikishie ujumbe MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA kuhusu namna ambavyo Radio tajwa hapo juu kuhusu mambo kadhaa; mfano-

1. Mara kwa mara huwa wanatoa matangazo ya michezo ya kubahatisha/betting (mfano alhamisi hii saa 3:05 jioni walitoa tangazo la Chezo na Ushinde na Biko licha ya kukatazwa na Mh. Rais kufanya hivyo)

2. Wamekuwa wakirusha hewani matangazo kuhusu pombe na vileo vingine ( mfano mara kwa mara wanatangaza kuhusu bia/kilevi cha Plisner King kwa uwazi uwazi)

3. Weledi na Maadili ya baadhi Watangazaji wao sio ya kuridhisha ni wa ho.vy.o kidogo kwani mara kadhaa wamekuwa wakitangaza au kusoma vitu visivyoeleweka (mfano: kushindwa kabisa kutaja kwa ufasaha majina ya miji, vitu, watu na viongozi mbalimbali).

Tafadhali TCRA chukueni hatua na simamieni maadili na maudhui ya Vyombo vya habari kama hivi.
Wewe utakua msabato, maana mnafundishwa kwanza kuwa na wivu, pili mnafundishwa ubinafsi, tatu roho mbaya, nne kupinga maendeleo....

Sasa hapo umeandika lawama bila ushahidi

*hayo matangazo unadhani ni bure au...? Mbona clouds wanatangaza mikeka, pombe na mikasi...
 
Wenzio wengi Mungu aliwapa vichwa kutunzia ubongo wenye akili na uelewa, lakini wewe kwa makusudi shetani kakupa bichwa bayaaa la kufugia nywele na hiuo midevu yako.
 
Nadhani ingekuwa busara zaidi kuiandikia radio hiyo kwanza kuhusu hayo mapungufu.

Nimewahi kutuma ushauri na maoni yangu mara kadhaa kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuhusu jambo hili, ila mara nyingi wamekuwa wakiyapuuza kama vile hawayaoni.
 
Nimewahi kutia maoni mara kadhaa kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuhusu jambo hili, ila mara nyingi wamekuwa wakiyapuuza kama vile hawayaoni.
Hilo ndiyo tatizo letu kwenye nyanja za customer relations hasa kwenye vyombo vya umma.
 
Back
Top Bottom