ni sawa na kujaribu kuzuia mafuriko kwa tenga. teknolojia ni bure na iko duniani kote na makampuni yanayoshikilia domain zetu na hosting ziko hukoooo marekani sio hapa kwenye hili wamechemka mnoo labda wazuie blogger na youtube zisiwe accessed nchini ila tu wasisahau kuna kitu kinaitwa VPN alafu nani ahangaike na traffic ya tanzania isiyo na faida kwa adsense?
Wabongo ni waoga sana wao wakitishiwa kidogo tu wanapanga foleni. Hapo kukupata ni ngumu kwasbb wakiangalia wanaotumia content za kiswahili bado kwasbb Kiswahiki kinatumika karibia Africa nzima.
Watawabana wenye co.tz. Kuna nchi ukiangalia maamuzi yao ni aibu sana huenda Tz ikaweka record kweny huu mchezo wa kulipisha blogger