TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

Ndugulile anaumwa nini. Mimi ninachojua ni mwanaume mwanaharakati asiyejua anachopigania. Kule kwao Kigamboni kuna mipango ya hovyo sana ya mji huo. Mara wanataka kutengeneza eneo la gereji, mara mji wa Kisasa, mara kila kitu gani sijui.... Lakini hakuna kinachokamilika. Leo kapewa TEHAMA kila siku mitandaoni kumbe anakula bingo la vifurushi. Aondoke tu mimi sitaki hata kumsikia.

Tatizo lenu baadhi ya Watanzania mkisikia tu Neno Mtu anaumwa kwa Upumbavu wenu mnakimbilia katika UKIMWI tu.

Hivi Mtu akifanya Mambo ya Kipuuzi huku akijulikana ni Msomi tu au hata Utendaji wake huko nyuma ulikuwa mbovu pia akiambiwa Mgonjwa ni Kosa?
 
Hawawezi kutoa haraka hivyo.

Tamko linatoka warudishe vifurushi vya zamani wakati zile terms walizokubaliana hawajakaa mezani tena kuzitengua
Siasa bwana
Mbaya zaidi sheria yao mpya ya kuduanzi inatamka kwamba any changes za kifurushi once made will be changed after three months.
 
Mbaya zaidi sheria yao mpya ya kuduanzi inatamka kwamba any changes za kifurushi once made will be changed after three months.
Kama kweli ni hivi, bando langu likiisha nagoma kwa kutonunua lingine mpaka wabadilishe..
Potelea mbali!
 
Kwani chanzo cha kupandisha bei za vifurushi ni nini?
1.) Je, wamepandishiwa kodi?
2.) Thamani ya shillingi imeshuka?
3.) Gharama za uendeshaji (mishahara nk.) zimepanda?
 
Back
Top Bottom