TCRA na Note 3 yangu...

TCRA na Note 3 yangu...

Vanpopeye

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
620
Reaction score
59
Nina note 3 N9005, haipigi simu wala SMS(NO service), lakini Inawasha data vizuri tu, 4g tena na inafungua internet, nikituma IMEI yake kwa TCRA, model ya simu inakuja n900t wanasema simu yangu imefungiwa, niwasiliane na mtoa huduma wangu, nahisi kama hawa jamaa wamekoseaaaaa...kuna msaada wowote?
 
Kwa uzoefu kidogo 4G pekee yake haiwezi kupiga simu wala sms so badili settings iwe auto kwenye data mkuu
 
Issue kubwa hapa kaka ni kwamba, haishiki network, nikienda kwenye mobile network settings, nikachagua mobile operators, zinakuja zote as usual, nikichagua, haifanyi network registration!!!!..

ama kuhusu network mode, nimeweka auto!.
 
Naufuatilia vizuri huu uzi MI yamenikuta network hakuna Ila Internet katika simu hiyo hiyo naingia kwa kutumia WIFI mpaka app na download katika Google play. Japo napata wakati mgumu kukubali kama nimefungiwa
 
kama umeinunua dukani mpya una box lake na risiti, nenda nayo tcra wanairekebisha! kuna mtu ana case kama hiyo kumbe simu ilichakachuliwa imei huko dubai.
 
Nikwambie kitu, hio simu kwa maana ya simu huwa zinakuaga za sample, hebu ngoja nimuite Mkuu aje hapa aelezee vizuri mshana jr huwa inaonekana kila kitu ni simu kabisa ila huwezi kupiga simu.... ni simu za display
 
huh!!!....nina miaka nayo kibao, sina chochote!
 
Nikwambie kitu, hio simu kwa maana ya simu huwa zinakuaga za sample, hebu ngoja nimuite Mkuu aje hapa aelezee vizuri mshana jr huwa inaonekana kila kitu ni simu kabisa ila huwezi kupiga simu.... ni simu za display
simu za display aka demo haziingii internet labda wifi, hii inaingia na line
 
Yes ni kweli unachoongea, unapata internet kwa Wi-Fi
MI simu yangu line inaingia ndo niliyokuwa naitumia kwa Internet Lakin ghafla nakuta NO SERVICE. Nikiweka line naandikiwa AIRTEL - NO SERVICE
 
Aisee ngoja wataalamu waje!!maana mke wangu nammie inamsumbua A5 yake wkt tulinunua dukani
 
imei ya simu yako hipo kwenye black list ambapo kwa mamlaka haitambuliki kupata kibali.unacho takiwa kufanya ubadilishe imei kwa siri ili kuweza kutambulisha
 
MI simu yangu line inaingia ndo niliyokuwa naitumia kwa Internet Lakin ghafla nakuta NO SERVICE. Nikiweka line naandikiwa AIRTEL - NO SERVICE
hata mimi iko hivi!!! simu yako ni model gani?
 
Back
Top Bottom