repair network tumia z3box kuna option ya ku repair network or other toolsNimejaribu line zote!!!.. yani nahisi nimejaribu kila niwezacho, nikaona may be ni custom ROM niliyoweka, nikadownload Official Lollipop ROM nikainstall via Odin, kamchezo bado hako hako!
kumbe uko vizuri hata uart cable unaijua? utatumia usb cable kuna help option itakuelekaza nini chakufanya KUMBE SIMU YAKO IMEFUNGIWA POLE NUNUA NYINGINE HIYO HAINA imei Repair option kwasasa ina option ya cert ambapo unatumia duplicate imeihii z3box haihitaji special cable kama SPT box inayohitaji Uart cable???
Shukran kaka kwa msaada, nimeamua kuiacha tu, nimeipakazi zingine kama za kuwa remote control ya TV, nitaangalia movies nikiwa kitandani kwa hiyo na pia, nitaiunganisha Wi-Fi tu nitume email, but nashukuru sana kwa kujali..... 😀😀😀😀😀😀😀😀kumbe uko vizuri hata uart cable unaijua? utatumia usb cable kuna help option itakuelekaza nini chakufanya KUMBE SIMU YAKO IMEFUNGIWA POLE NUNUA NYINGINE HIYO HAINA imei Repair option kwasasa ina option ya cert ambapo unatumia duplicate imei
kama bado unayo niuzie mkuu nahitaji kioo tuShukran kaka kwa msaada, nimeamua kuiacha tu, nimeipakazi zingine kama za kuwa remote control ya TV, nitaangalia movies nikiwa kitandani kwa hiyo na pia, nitaiunganisha Wi-Fi tu nitume email, but nashukuru sana kwa kujali..... 😀😀😀😀😀😀😀😀
Pole mkuu mimi note 2 screen ime freeze. Imekuwa nyeupe na haionyeshi chochote. Nimejaribu kuifanyia hard reset imekataa. Hapo hapo nasika simu za samsung zinashida. Sasa hivi ni kuhamia tecno tu. Haiwezekani mtu unanunua simu kwa gharama afu inakufa kiboya boya tuNina note 3 N9005, haipigi simu wala SMS(NO service), lakini Inawasha data vizuri tu, 4g tena na inafungua internet, nikituma IMEI yake kwa TCRA, model ya simu inakuja n900t wanasema simu yangu imefungiwa, niwasiliane na mtoa huduma wangu, nahisi kama hawa jamaa wamekoseaaaaa...kuna msaada wowote?
Balaa sana, tecno nao wana majanga yao, mfano ina leta ads kibao na muda mwingine kudownload apps mfululizo mpaka unashindwa kuitumiaPole mkuu mimi note 2 screen ime freeze. Imekuwa nyeupe na haionyeshi chochote. Nimejaribu kuifanyia hard reset imekataa. Hapo hapo nasika simu za samsung zinashida. Sasa hivi ni kuhamia tecno tu. Haiwezekani mtu unanunua simu kwa gharama afu inakufa kiboya boya tu