TCRA na Note 3 yangu...

TCRA na Note 3 yangu...

Nina note 3 N9005, haipigi simu wala SMS(NO service), lakini Inawasha data vizuri tu, 4g tena na inafungua internet, nikituma IMEI yake kwa TCRA, model ya simu inakuja n900t wanasema simu yangu imefungiwa, niwasiliane na mtoa huduma wangu, nahisi kama hawa jamaa wamekoseaaaaa...kuna msaada wowote?
Ifungue tuuu usihangaike
 
Nenda sumsang center iliyokaribu yako...
Ila make sure uko na risiti halali.

Shikamoo Magu!
 
Poa mkuu, hii TCRA walisema wenyewe kwa wale watakao fungiwa kimakosa waende kwenye hayo makampuni ya simu. Ila ulijaribu kuingiza hzo imei namba kwenye imei checker?
kuna imei checker app or nini kaka?
 
Back
Top Bottom