Natoa ushauri wa bure kabisa kwa Wakurugenzi Wakuu wa NIDA na TCRA kutembelea mikoa tajwa hapo juu kabla ya tarehe 20 mwezi huu ambapo line za simu zote zisizo na usajili wa kitambulisho cha NIDA zitasitishiwa huduma.
Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia kuna siku wataingia msituni kudai kujitenga ili waungane na Rwanda au Burundi.
Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia kuna siku wataingia msituni kudai kujitenga ili waungane na Rwanda au Burundi.