TCRA na Kesho la Polisi (15040)

TCRA na Kesho la Polisi (15040)

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
308
Reaction score
454
Mmekuwa mkitutaarifu kutoa taarifa kwenu kila tunapopokea message za utapeli kupitia namba yenu 15040.
Nimekuwa nikiwatumia namba hizo za utapeli nami kuweka kumbukumbu.
Tarehe 11 Apr 2025 nililipoti namba 0615656151 kuhusika na utapeli, cha ajabu Leo tena namba hiyo hiyo 0615656151 bado iko hewani imenitumia message tena ya kitapeli. Nauliza inakuaje bado iyo namba bado inaendelea kuliza watu?
 
Mm hiyo number wala message haiendi mda sasa, hata nikiwa na credit.
 
17452203739913422441400460771631.jpg
 
Hakuna kitu wanafanya hao jamaa ,wanakula mishahara ya bure tu.Mimi nilishawapa namba nikaamua kuwapigia kabisa.Wakanishauri niipeleke hiyo namba polisi.
 
Hakuna kitu wanafanya hao jamaa ,wanakula mishahara ya bure tu.Mimi nilishawapa namba nikaamua kuwapigia kabisa.Wakanishauri niipeleke hiyo namba polisi.
Kuna haja gani ya wao kuwepo katika ajira kama wanashindwa kufanya kazi yao? Waondoke wawaachie Polisi waendelee na hii kazi ya kuwatafuta matapeli hao.
 
Tcra ni wasanii, nilienda kufunga simu yangu baada ya kuipoteza (kuibiwa); wakaniambia niwape imei, sijui wakafanya nini na Tigo nikahakikishiwa simu imefungwa!

La haula! Siku moja nisikute simu imezama ndani ya sofa huko! Kuja kuiwasha simu inawaka kawaida na network inashika. Nilichoka...

Pengine wanapuuzia ....
 
Back
Top Bottom