Walishayamaliza mezani. Jamaa alitekwa na bahasha nono mezaniYule jamaa alifungua kesi kuhusu haya makampuni ya mawasiliano aliishia wapi?
Nasikia ananyanyua ghorofa mitaa ya morrocoYule jamaa alifungua kesi kuhusu haya makampuni ya mawasiliano aliishia wapi?
Yule jamaa alifungua kesi kuhusu haya makampuni ya mawasiliano aliishia wapi?
Yah me mwnyw nna mpango huo halotel kdg afazar ata ukisafiri mitandao yote mnara chini wny halotel tu ndo wanatesa wengine wote tunawatia mashaka jamaa na marafikiKaribuni Halotel. Sisemi wako vizuri, ila wanajitahidi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Voda kiboko wamemuibia mpk waziri mwakyembe [emoji23][emoji23]Mleta mada ubarikiwe!!
Naomba TCRA mulikeni hawa Voda ni wezi pure.
Kama hampewi bahasha basi shughulika na hawa wezi.
Kama hamshughuliki nao tunaomba Waziri muhusika
APAMBANE NA HAWA WEZI.
HELA YA MUDA WA MAONGEZI WANACHUKUA KAMA YAO.
NILIHAMISHA FEDHA TOKA M-PESA KWENDA TIGO WAKACHUKUA.
HAWATAKI KUONGEA NA WATEJA, WAMEKUWA WEZI JUMLA!!
TUNAOMBA MSAADA!!
Hao TCRA wanafanya kazi pale mzee meko anapo semwa, hayo mambo ya wizi wa voda hayahusu.Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya:
1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana?
2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double!
3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano; Unaweka vocha ya Tsh 500,unapojiunga kifurushi chake unapata msg salio halitoshi,ukicheki salio unakuta zimebaki 400 au 300 tuu.
4. Kulazimisha kuingia michezo ya kipuuzi ya kubahatisha. Mfano Tusua Mapene, kwangu huu ni aina ya uhujumu uchumi na uonevu kwa wateja. Futeni hii michezo,vijana wanaharibiwa mindsets zao.
Nchi yetu bado ni ya Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ( Katiba ya Nchi ya 1977), tuchujeni mambo ya kukisaidia Taifa na vijana wetu.
Ninarudia, niombe TCRA mmulike hayo mambo, yanaumiza jamii.
Mkuu tushauri ni nini kifanyike? Mtu mmoja akikatw kitapeli tsh 100 kama ni multiples kwa watumiaji 25 million ni kwa nini TCRA, Waziri muhusika hawalioni kama ni aina ya Uhujumu Uchumi kama ule wa Bana mdogo Kabendera? Au kwa vile kuna mutual benefits within the members of a whole set?,TCRA,SUMATRA huwa hawashughuliki na hizi kero maana huko kuna maslahi yao makubwa,ma dala dala walio wekeza huko NI watu wa SUMATRA ndio maana nchi hii sahau kuhusu level siti au kero za usafiri wakati wa jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una malalamiko nenda ofisi za TCRAsa hv kuandika mada yoyote khs TCRA na Vodacom ni kupoteza muda mana hakuna lolote positive litakalofanyika