TCRA mulikeni king'amuzi cha Azam

TCRA mulikeni king'amuzi cha Azam

Tabia zao zina endana na startimes tu....tamthilia zinafanya kuzunguka tu kwa bandle lile lile,ya novela e utaikuta zone,swahili ,rembo sijui wapi....yani zile zile...mpya chache sana. Mpenda tamthilia kama mm lazima ukate tamaa
 
hebu acha ujinga bas mkuu...
Mjinga ni mimi ama wewe? Maana kwa ujinga wako umeshindwa kunyambua hoja. Lakini kama ni mtegemea shemeji ama upo kwa shangazi hizi changamoto kwako hauwezi kuzijua.
 
Naweza nikakaa siku nzima nisifanye chochote namuangalia Dr Pol.
Ila mimi ninavyojua Azam hawana mamlaka na channel ambazo sio za kwao. Kitakachooneshwa National Geographic huko ndo kinaoneshwa huku Startimes.
Labda kama ni version tofauti mfano Nickelodeon utakayoikuta kwenye Dstv ni tofauti n utakayoikuta Startimes.
 
Kujirudia kwa vipindi sio kosa lao..kosa la hao wenye channel..Kama unaona vipindi vinajirudi kwenye channel zao za azam one, azam two..azam sports HD 1&2 pamoja na utv Basi unahoja ya msingi..Ila kama unaona kwenye channel zingine ..inamaana huko wanakochukua hizo channel..mfano Tanzania safari..iko chini ya TBC so TBC ndio wanarudi Rudi hizo channel...kosa alipo kwa azam tv nadhan
 
Mtoa mada sikuelewi,mara nyingi marudio ndio hufanya watubwaelewe stori.
Basi aanze kwa kurudia mada tena 😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
jamaa hata yale machanel ambayo kimsing yanapatikana bure katika ArabSat mfano mbc 2,3 4,wanassah madogo wai wa it wameziweka mbinyo balaa
 
Back
Top Bottom