TCRA mulikeni Halotel wanawaibia wateja kupitia vifurushi vya SMS. Wapigwe Faini kubwa iwe fundisho

Kwema wazeee.
Halotel unanunua SMS 50 unatumia 10 wanakwambia bundle imeisha huu ni wizi naomba wapigwe faini kubwa iwe fundisho kwa mitandao mingine.

Nimeumia sana.
So true! Niliwapigia simu kuwauliza inakuaje nimejiunga 5000 kupiga mitandao yote kwa dakika 300 na SMS 50 alafu in a very short time nimetuma SMS tatu ile najibu ya nne naambiwa sina airtime ya SMS!

Alinijibu yule muhudumu kuwa , nanukuu “ ninavyoona umetumia muda wako wa SMS zoote hivyo ongeza airtime uweze kutuma SMS!” nilishtuka

Huu wizi niwawaziwazi kabisa! HALOTEL nawaita kwa mara ya tatu sasa siku nawaburuza mahakamani tusilaumiane! Kumbukeni!!!
 
Back
Top Bottom