Sikia, hii line sijaanza kuimiliki juzi ama jana, nina miaka nayo.Muwe mnasoma terms and condition kabla ya kununua line za mitandao
Utakua unaandika msg ndefu. Kwahiyo unajua umetuma moja kumbe 3 au zaidi.Kwema wazeee.
Halotel unanunua SMS 50 unatumia 10 wanakwambia bundle imeisha huu ni wizi naomba wapigwe faini kubwa iwe fundisho kwa mitandao mingine.
Nimeumia sana.
Kwa akili zako hatuna record sio!? Sasa wewe endelea kituibiaWewe utumie kifurushi chako mpaka kiishe halafu uwatishe kuwapeleka mahakamani, ushahidi unao, jaribu uone watakavyo mwaga data zako na utatakiwa uwalipe fidia na gharama za kesi,
Uibiwe nini wewe.unafikiri mitandao inaendeshwa kwa mdomo, ni automatic system, chochote utakacho fanya kinarekodiwaKwa akili zako hatuna record sio!? Sasa wewe endelea kituibia
Maandishi yako yamebeba jazba!( inatia shaka) Kunashida gani HALOTEL wakatujibu au kutufafanulia au kutuomba samahani mpaka wewe unakwazika kiasi hiki!? ATM machine zenyewe kuna muda pesa inatoka kwenye account lakini hupati cash! System haimaanishi ni gurantee ya uhakika na usalama, anytime anything can happen! Haya ni malalamiko so kama wewe ni HALOTEL unatujibu hivi ( ila hatudhanii ) nashauri wakufute kazi! Huna exposure na business tactics! Na hiyo lugha yako ya eti “ uibiwe nini wewee” it's sound kwako kinachoibiwa ni hela tu and you have no clue what time value in this world!Uibiwe nini wewe.unafikiri mitandao inaendeshwa kwa mdomo, ni automatic system, chochote utakacho fanya kinarekodiwa
Kwema wazeee.
Halotel unanunua SMS 50 unatumia 10 wanakwambia bundle imeisha huu ni wizi naomba wapigwe faini kubwa iwe fundisho kwa mitandao mingine.
Nimeumia sana.
@TCRAHalotel ni jipu, kwanza hawapokei cm za wateja wao. Pili kabla hujakamilisha kujiunga na kifurushi chochote kwa kawaida wanakwambia bonyeza moja kukubali, kabla hata hujabonyeza hiyo moja tayari wameshakuletea sms ya asante kwa kujiunga na kifurushi . Alafu wanavyosema umetumia asilimia 75 ya kifurushi chako huwa wanatumia vigezo gani? Huu mtandao umekua wa kishamba sana.
.mimi siandikagi message ndefu mkuu naelewa maana ya neno SMSUtakua unaandika msg ndefu. Kwahiyo unajua umetuma moja kumbe 3 au zaidi.