TCRA: Mabando kama awali

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
Kama ambavyo maelekezo ya Serikali yametolewa tunafuatilia kwa karibu sana suala la mabando au vifurushi ili virudi kama ilivyokuwa awali...Dr. Jabir Bakari Kuwe, Mkurugenzi Mkuu TCRA akiwa Makao Makuu ya TCRA Dar es salaam leo

Tuna-monitor na tunategemea muda si mrefu vitakamilika na vitarudi vyote kama ilivyokuwa awali, tunafuatilia kila saa na muda sio mwingi vitarudi kama zamani, maelekezo ni kwamba tunarudisha mabando yote kama mwanzo..Dr.Kuwe
 
Porojo tu huyu mbaba. Nitumbue? tumbuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kurudisha pekee haitoshi, pia aliyesababisha huu usumbufu achukuliwe hatua
 
Mkumbuke tcra walikiri maoni 3000 na ushee mliyopeleka kwa dungulile kipindi kile ndiyo yaliyopekea mabadiliko haya mnayoyalalamikia.
Hili ni fundisho kuwa siasa haitakiwi kuingizwa kwenye biashara.
 
Waziri Alisema ndani ya siku 4 mabando ya zamani yatakua yamerudi leo tar 14 bado tunaendelea kuahidiwa.
 
Somehow inafaa, au sio?
Screenshot_20210414-201145.jpg
 
Back
Top Bottom