Tcra Local Channel Hapa Tz Ni Tbc Tu?

Tcra Local Channel Hapa Tz Ni Tbc Tu?

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Tunaomba ufafanuzi wenu tujue hili Na kuelewa ni kwanini Pesa ya decorder ikiisha zinakata channel zote Na kubaki Tbc tu wakati inasemekana hata baada ya bundle kuisha tulistahili kuendelea kutazama local channel
Ufafanuzi tafadhali hata kwa Mwenye weledi.Natumia Azam.
 
Azam haipo kwenye list ya kuonyesha local channels, kuna tangazo lipo humu ndani tafuta...
 
Back
Top Bottom